babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,442
- 36,076
Wajinga Sana haya majamaa, kupenda kujikweza wakati hawana wanachojua
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Dah hatariiii maisha magumu cannot afford hotel na home kwenye slum ya bati full suti hawezi peleka kichwa.Tatizo yenyu wabongo nikingereza Sisi sio level yenyu[emoji3][emoji3] ni venye....chenye Sisi tunayo....tafuta dictionary !
View attachment 2216248View attachment 2216249View attachment 2216250
Hizo battle zimeshawahi kuwa humu ndani mkakimbia zote.Heehee, toa Dar nitoe Nairobi.
Mwanza vs Mombasa
Arusha vs Kisumu
Mbeya vs Nakuru
Eldoret vs Tanga
Unaona gani iko juu? Heehee
Dar es salaam na Hamburg ni sister cities kama hujui.Ndio nikasema mna inferiority complex. Ni kawaida mtu akiona phrase ya kwako ughaibuni atakuwa excited - same way nimeona wengi wenu wakiposti posti picha ya neno Dar es Salaam kule Germany. Sasa ukiona mtu akiwa excited of such a phrase alafu uanze matusi eti ooh pia kwetu ipo hiyo ni inferiority complex.
You can pick an accent from words pia ama hujui?Wewe Sasa ndio fala number moja huku. Language ni words ama accents?
Kinacholeta maendeleo ni maarifa.Sio kila mwenye akili anaweza kufanya mageuzi ila mwenye akili na maarifa ndio anaweza kuongoza wenzake.Learn leadership skills😊😊Kosa yoteee..... kosa elimu kosa maarifa ila usikose AKILI.
Kama ujaelewa zingatia hii logic na fact [emoji117] KITABU KINA ELIMU NA MAARIFA ILA HAKINA AKILI
Leta international Airport lamuAre you talking about the same Zanzibar which Lamu gave thorough beatings?
Lamu mode of transport ni punda!Leta international Airport lamu
View attachment 2216327
View attachment 2216328
View attachment 2216329
Mshamba huyo anajua brt ni nini kwanza? Hivi vitu mpaka aone kwenye TV ulaya na marekani.Kwa hiyo brt lanes siyo lanes au huoni hiyo njia ya zege katikati ya brt
Mastering a language is a measure of intelligence. Failing to master a language you've been taught is lack of intelligence.Uzuri ni kwamba English is not a measure of intelligence.
Sijaona mkenya aliyesema Nala ni ya Kenya. Inferiority complex yenu ndio imesema. Ama nionyeshe kama nadanganya.Issue hapa sio phrase but Nala company is a Tanzanian Company Kenyans wanasema ni ya kenya kwenye twitter. Ushamba umewazidi mkiona kiswahili tuu huko nje mnafikiri ni juhudi za Kenya you always think about yourselves first very selfish hii ndio ilipelekea the first EA community kufa.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sasa hivi wanamiliki kila kitu hata wakitaka urais wanapewa. Wengi wanapewa uraia kwa uchawa na ufisadi wa kufadhili chama na familia za viongoziLeo nimekubaliana na wewe 100 kwa 100 ..Good point na good reasoning..
Hamna haja ya ya waliopewa uraia kupata chance ya kugombania au pia hata wao directly kumiliki potential land isipokuwa spouse wao ..
Hii inabidi iwepo kwenye katiba,ingawa sijaisoma hii iliyopo sasa
Keep on crying 😂😂👇👇Mtabaki kujiliwaza na data za zamani kwa kuficha kipengele cha mwaka wa data, Kama kweli unaziamini data zako, onyesha tarehe ya hizo data
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Fool, you can't pick accent from words. It's the other way round.
Wacha uongo katiba ya Tanzania inasema huwezi kuwa Rais kama umezaliwa nje ya Tanzania hata kama na mama wa Kitanzania! Lazma uwe umezaliwa na mama wa Kitanzania ndani ya Tanzania!Sasa hivi wanamiliki kila kitu hata wakitaka urais wanapewa. Wengi wanapewa uraia kwa uchawa na ufisadi wa kufadhili chama na familia za viongozi
That guy is a handy man at palm villageNilivyo kuumbua inaonekana umeumia sana.
Yaani wewe kazi yako humu ni kupotosha na kudanganya tu!
Yaani hampendi kabisa kukutana na vikwazo mnavyo danganya na kupotosha.
Utawadanganya wakunya wenzako ila sio Watanzania.
Eti managing director ni mkunya! [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2216291
Shibe pia ni maendeleoUnajua maana ya maendeleo?
1)Political stability
2)Peace
3)Unity
4)Non racial/tribe or any type of segregation
5) Equal society
6) Togetherness
These parameters form big part of development, nor country can reach sustainable development without these.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Leta transhipment port in Zanzibar.Leta international Airport lamu
View attachment 2216327
View attachment 2216328
View attachment 2216329
Hiyo ni zege la brt kama ulidhani mchanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndiyo maana amuelewani wanakupostia picha wewe unadhani ni mchanga wa kupanda maua .BRT YA TZ NI ZEGE HIVYO KUWA MAKINI KUTAZAMANaona mchanga katikati