Jielimishe na hiiYou really need to go and admit yourself to a psychiatric institution tangu lini estate services manager akawa ana run the conplex he is only a handy man there. The owner is a Somali guy and the complex has a manager who runs it on daily basis.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mchina ndio managing director we nyumbuWewe ni fala sana. What kind of a person are you? Mtanzania hata hajui what's going on in their country 😂😂🤣.
For your information, that complex is owned by Chinese and managed by a Kenyan by the name Maina Njuguna.
Mchina is the owner and the managing director is a Kenyan.Mchina ndio managing director we nyumbu
Ningependa hili jina la kikoloni libadilishwe.Mwanza Bismark Park
Yupo wapi huyo managing director?
Njoo mtaani dogo uone kama kuna mtu anaijua hiyo Nairoberry yako zaidi ya slums tu.
Mkuu, watu wanacholalamika ni kupanda kwa gharama za maisha, kudhohofika kwa huduma za jamii(Umeme na zingine), kupungua kwa nidhamu za kazi maofisini, kuongezeka kwa gharama za matumizi ya serikali(safari za viongozi, seminars, na mikutano).Kwa robo tatu za mwaka huu wa fedha TRA wamekusanya trill16.69 ongezeko la trill 3.1 kutoka mwaka wa fedha ulioisha mtu anakwambia SSH hafai...Watz ni watu wa hovyo sana huwezi fanya chochote wakaappreciate
Hata siku moja hamtakaa mumsahau mzee baba, kwenye akili yenu na mawazo yenu bado anaishi mnajitahidi kumuongolea kwa mabaya but still he mnagonga mwamba si kwa uamsho huo alioufanya Tanzania na kwa Watanzania wote mpaka dunia nzima ilimjua.
Yupo Dar. His name is Maina Njuguna.Yupo wapi huyo managing director?
This a shame to post this to represent a town. Some schools here have betterFikeni hizi levels za Dodoma kwanza
View attachment 2215834
View attachment 2215835
View attachment 2215837
View attachment 2215838
View attachment 2215839
View attachment 2215840
View attachment 2215842
View attachment 2215843
View attachment 2215844
View attachment 2215845
View attachment 2215846
View attachment 2215847
Pancho Latino alikuwa ni nani mkuu?Kisiwa ichi kizuri sana ila nliumia alipofia Pancho Latino
Hawaji na wakitokea chunguza source ya taarifa yao.Onyesheni idadi ya watanzania waliopata uraia wa Tanzania, even those by Marriage.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Yupo wapi huyo managing director?
ata ipate likes 16.! kenya bado inaivua bongo panty..
Ndugu yako alikuja Kenya akakula unachokisema au? When you beaten with facts you start applying crude ways instead of proving otherwise with facts. You will keep repeating this words as we grow bigger and bigger
Same old pictures
Sasa wewe ndio huna akili kuliko wote humu. Are you not aware that Palm Village Mikocheni is one of the projects developed by Ivory Tower real estate? The owner of Ivory Tower is a Chinese with Njuguna being of real estate services.Hiyo article aliyo screenshot yote ilikuwa hivi na hamjajiuliza tu mbona ameleta nusu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Managing director is a Kenyan! [emoji848][emoji848][emoji848]
Head of real estate services!
View attachment 2215969