Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Barabara iko zigzag lakini sioni milima ama nyumba za maana.

View attachment 2215141
Nje kabisa ya Dar hapo, ww hyo road inakuuma sn alafu unaumia zaidi unaposikia wamejenga Watz kwa mikono na pesa zao. Ngoja nikuongeze [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Attachments

  • Screenshot_20220505-114925.jpg
    55.7 KB · Views: 33
Ni wakati wa 100 metres women. Wacha tuone kati ya Christine Mboma na Shelly Anne Fraser Price wa Jamaica nani atashinda.
 
Shelly Anne Fraser price wa Jamaica ameshinda. Ameshinda kwa sekunde 10.68 ambayo ndio mbio ya kasi zaidi duniani mwaka huu kwa upande wa wanawake
 
This is a big lie. I'm coming back to expose your lies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…