Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,239
- 107,866
sasa nchi ina-count kila mtu anaingia Kunyaland as tourists na pia mpaka tourists on transit unategemea nn?I like these data..
Number of touristsView attachment 2214553
VS
Number (amount) of revenues
View attachment 2214559
Yan walituzidi namba ya watalii lkn tuliwazidi mapato
Sasa hiyo ni kitu ya kuchekeshaπππyani akili yako nikama ya mwendazake kule chatoHawanaga bahati hawa jamaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
compare and contrastWako busy kutafuta kasoro kimara kibaha highway hadi wanasahau ya kwao. [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2214558
Midomo mipana salamu zimeshawafikia, yn wanahangaika na mambo ya Tz wkt media za Tz wala hazina habari na mambo ya Kenya.Bana zimewafikia
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jengeni barabara bana. Huoni hata aibu ati with all the size Tanzania only has 8,000km of paved roads
Alafu wala hatujawahi kuipost humu.Picture nzuri kweli, inaivua Nairobi nguo kwenye point ya greenery
Kuna mwamba kaandika eti hayo "wanaokolewa" hadi nimecheka . Lakini nchina mmemkosea nini wakenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo na Thika road kwa jina lingine zinaitwa ua ua au chinja chinja road, zimeua maelfu ya wakunya na bado zinaendelea kuua kutokana na poor engineering [emoji116][emoji116]Outering road has fire pictures and it's just an "outering road"View attachment 2214482View attachment 2214481
Kuna street ipo Berlin , Germany inatakiwa Dar es salaam in case you don't know, make Google your friend . Pia andika vizuri neno Dar es salaam usiikosee heshimaJina darslam haiskiki ata Burundi and you want to compare it with world class cities like Nbi!! Alafu shida yenu apart from jamiiforum hakuna mahali utaona bongolala aki compare Nairobi na dar
Lengo la mchina ni kuaribu ni hiyo barabara ya chini kwa maji lami ya chini inaaribika hili wapite juu apige tozo yake
Huyo ana mtindio wa ubongo cz amekosa malezi ya wazazi huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaweka picha za mwanza ili ujifurahishe. Kumbe wewe ni stupid sana kuliko nilivyodhania.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
kuna mitaa mingi tu usambara, Zanzibar na kilimanjaro ni majina ya mitaa mimgi tu!Jina darslam haiskiki ata Burundi and you want to compare it with world class cities like Nbi!! Alafu shida yenu apart from jamiiforum hakuna mahali utaona bongolala aki compare Nairobi na dar
Pozi za kishamba kinoma, yani wakunya ni washamba hata wakizeeka, hawajui kuvaa kabisa, ona kama huyo mzee umri umeenda lkn muhuni, alafu eti ni profesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Among the 40+ presidential candidates in Kenya's 2022 electionsView attachment 2214535
You people with this your one road....compare and contrast
MY TAKE
Nairobi expressway with Mfereji mafii! Picha za ku-save hizi...
CC: IamLee Teargas Don YF Nicxie
Mchina ndo kamaliza kazi hapo! wasipoangalia vizuri haya maji bila proper drainage system yataenda kufanya pillars/piers ku-collapse especially kama yatatuama hapo chini median section!
Nairobi Ni noma usidanganyikeKuanzia mwanzo wa huu uzi mlikua mnapost picha za nchi za watu na kusema kua ni kunyaland . Halafu wenyewe hata mkiona mnasema uongo hakuwezi kosoana na watanzania . Nadhani kuna somo mmepata . Hata mimi nilikua blinded na kudhani Nairobi ni noma . Uzi umefunguaacho wengi plus kwenye mazingira ya kazi nimekutana na wakunya most wana arrogance na much za ajabu japo sio wote plus overconfidence . Kuna mmoja alikua ana shout halafu Hana logic wakati yupo bongo . Nikabaki namwangalia na kucheza. Honesty upole wa kitanzania unasaidia kumdharau mtu na kuepusha Shari .
Kuna site inaitwa jiji ipo kenya nimeangalaia house rent za kunya hadi huruma ndio maana wengi wanaishi slum
Very useless base of making a statement like that.... If you want to know who between the two countries are good in dressing (though to my opinion is a stupid debate) you can bring random social gatherings or parties concerts and stuff then have a random sample... Or which country has a higher designer purchase power or somethingPozi za kishamba kinoma, yani wakunya ni washamba hata wakizeeka, hawajui kuvaa kabisa, ona kama huyo mzee umri umeenda lkn muhuni, alafu eti ni profesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha kuongea sana we kalio, kwenu kuna barabara za hivi πYou people with this your one road....
Berlin na mimi naongelea darslam ya tanganyika bruh?Kuna street ipo Berlin , Germany inatakiwa Dar es salaam in case you don't know, make Google your friend . Pia andika vizuri neno Dar es salaam usiikosee he