Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mjambiani fara sana huyu shit hole kabisa.juzi wakati natokea morogoro nimekutana na injinia wa sgr mmoja kanisibitishia kuwa kichwa cha treni ya umeme kilicholetwa cha majaribio ni kibovu akifai wamejaribu kukitengeneza ili kifanye jaribio la kwanza kimeshindikana sasa mpango ni kuleta kichwa kingine kutoka nje
 
Ccm ni mafii
 
Umemaliza mkuu nikiongeza ntaua kabisa.
 
Huoni aibu kutaja hiki choo mbele ya airport za watu?
 
That's not a terminal! A terminal is a separate building! U can't have one building and call her sections/gates different terminals!
Wewe Methuselah what do you understand by the word terminal?
 
Donholm, Buruburu, Kahawa West, Roysambu, Umoja, Kasarani, Kahawa Wendani, Imara Daima, Komarock, Ngara, Kamulu, South C, Nairobi West, Lang'ata, Utawala...
Hakuna sehemu isiyo na slums Kenya, najua mnaumia na mngependa tufanane, taja sehemu yoyote Kenya nitakuonesha slums [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Now tuna ndege mpya na nzuri, Wakenya wenyewe wameanza kupanda hizi ndege na wanazisifia sn, wengi wao wameanza kuja ku connect ndege huku Tz kwenda Ndola, Harare na kwingineko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwamba enzi za Magufuli kulikua na matumizi madogo kuliko hivi Sasa?, tunahitaji kupewa ushahidi katika Hilo. Kuna njia mbili ya serikali kuthibitisha,.
1)Kiwango cha uzalishaji umeme enzi za Magufuli na Sasa hivi
2)Kiwango cha umeme kilichokua kikitumika katika kipindi cha mwaka au mwezi kwa wakati ule na Sasa hivi/Makusanyo ya mapato yatokanayo na mauzo ya umeme yalinganishwe.

Serikali/Makamba na rais Samia wote wanalalamika kuhusu uchakavu wa miundombinu ya usambazaji umeme kuwa ndio chanzo, tunaweza kuamini juu ya Hilo, lakini swali la kujiuliza ni kwamba mbona kipindi cha Magufuli madhara ya uchakavu hayakuonekana Kama inavyoonekana Sasa hivi?.

Kama kweli hivi Sasa matumizi yameongezeka kutokana na uchumi kufunguka, tunaomba takwimu ili kweli tuamini, lakini kutoa majibu mepesi mepesi kwa Mambo ya msingi Kama haya haifai.

Jambo Moja ambalo viongozi wa Sasa hivi ni lazima wajifunze ni kwamba, Magufuli amewafungua macho watanzania kwamba Mambo yanawezekana Kama watumishi wa umma watafanya kazi zao vizuri, iwe kwa kupenda au kwa kushikiwa bakora, watu hawataki maneno na maelezo mengi, wanataka kuona vitu vinafanyika

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…