Bwawa la nyerere nadhani lisinhejengwa kwa sababu kadhaa singependa kuzitaja...Haya ilo bwawa hatujakopa lakini ukizungumzia miradi mingi inahusisha mikopo ....Mama angeshinda 15 kwa style yake nadhani mambo kadhaa tungechelewa...bahati yake kakuta Chuma kashatoboa miamba migumu ndio maana anaserereka....Sitegemei apuyange kwani mambo mengi ameshajifunza kwa tawala zilizopitaVipi bwawa la nyerere? Ninmkopo wa nani? Au ndio tukiuliza tunaitwa sukuma geng hata km hatuja toka huko?
Naomba nikulize kitu, km mama ndio angeshinda 2015, mradi km wa bwawa la nyerere ungekuwepo? Vipi kusu SGR ya umeme ? Naomba nijib bila feelings....
Namini private sector kwa kipindi hichi itakuwa vyema, ilidorora
huku kenya, kama mganga sio mtanzania!....... jua tu hio biashara yake haitanoga🔥
Sasa ilipaswa huyo Simon ndio azungumze hayo kwasababu yeye yupo TANESCO Kama kweli anazo hizo data, wewe itakua vigumu kueleweka.Yupo humu anaejiita Simon amesema yuko Tanesco mwambie akupe data za peak demand sio peak hours..
Hata hivyo siku Tanesco na Makamba wanahojiwa walifanya demonstrations ya Takwimu hizo ndio maana Nika attach maelezo yao hapo juu..
[emoji1787][emoji1787]tapeli mmojahuku kenya, kama mganga sio mtanzania!....... jua tu hio biashara yake haitanoga[emoji91]
heb compare hizi mbili:-[emoji1787][emoji1787]tapeli mmoja
Mama akisema mlikopa just accept and move on.Bwawa la nyerere nadhani lisinhejengwa kwa sababu kadhaa singependa kuzitaja...Haya ilo bwawa hatujakopa lakini ukizungumzia miradi mingi inahusisha mikopo ....Mama angeshinda 15 kwa style yake nadhani mambo kadhaa tungechelewa...bahati yake kakuta Chuma kashatoboa miamba migumu ndio maana anaserereka....Sitegemei apuyange kwani mambo mengi ameshajifunza kwa tawala zilizopita
The same president said that Tanzania is no longer a middle income country, it was demoted back to LDC group, one month later, the same president says Tanzania is back to Middle income country[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hey warthog, do you know better than your president? Akisema mlikopa then mlikopa, and that will remain the truth.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji817] walahi. Akina babu wa loliondohuku kenya, kama mganga sio mtanzania!....... jua tu hio biashara yake haitanoga[emoji91]
The project cost is $2.9B, UBA contributed $406M, Government of Tanzania contributed $2.5B, bado huo mradi umejengwa kwa mkopo?[emoji23][emoji23][emoji23]
But mlirudishwa LDC 😂The same president that Tanzania is no longer a middle income country, it was demoted back to LDC group, one month later, the same presidents says Tanzania is back to Middle income country[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
That Dam is fully funded by loans, grants and donations 😂😂The project costs is $2.9B, UBA contributed $406M, Government of Tanzania contributed $2.5B, bado huo mradi umejengwa kwa mkopo?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mimi sipendi kujitungia maelezo na Maoni binafsi nimekupa maelezo ya Makamba na watendaji wa Tanesco..Sasa ilipaswa huyo Simon ndio azungumze hayo kwasababu yeye yupo TANESCO Kama kweli anazo hizo data, wewe itakua vigumu kueleweka.
Kuhusu Makamba huko Bingeni tumemsikiliza, zaidi ya kuzungumzia matatizo ya kiufindi na kuchakaa kwa miundombinu ya umeme, hajazungumzia lolote kuhusu kuongezeka kwa uzalishaji, sio kazi ya TANESCO Wala hawezi kujua lolote kuhusu ongezeko la uzalishaji, wao wanachojua ni kuhusu ongezeko la matumizi tu.
Mkuu, mahitaji ya umeme Tanzania hadi Sasa ni 1400MW, na uzalishaji wa umeme ni 1700MW, maana yake tunazalisha umeme zaidi ya mahitaji yetu, kwahiyo hakuna peak demand inayozidi au kufikia 1700MW, kwahiyo tatizo lipo kwenye usambazaji hasa kutokana na TANESCO wenyewe kushindwa kugundua matatizo mapema katika njia za usambazaji na kuzirekebisha kabla tatizo halijatokea.
Magufuli alifanikiwa Sana kuwafanya wafanyakazi wa serikali kuwa "proactive" badala ya kuwa "reactive" katika utendaji wa kazi, ndio sababu umeme kipindi chake ulikua haukatiki mara kwa mara, wafanyakazi waliokua wanaogopa kushitakiwa kwa Magufuli kupitia safari zake za ghafla nchi nzima, hivi Sasa wafanyakazi wameanza tena kujisahau
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
bado nakumbuka jina lake.. "Ambilikile Mwasapile" 😆😆 huyo mzee aligoogle wakenya wengi aaise..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji817] walahi. Akina babu wa loliondo
HUYU SA 100 KUWA RAIS NI HASARA YA KUTISHA KWA NCHI YETU TENA HASARA KWELIKWELI .Hapo nani alituingize cha Kike asee..
Mbona Habari za kusikitisha sana hizi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Aseeeh [emoji1787]Kwani JNIA haina terminals zaidi ya 1?
Hili ni boma la ng'ombe sio terminal [emoji1787]
View attachment 2211548
By the same time you depend on UAE foods donation. Waswahili wanasema nyani haoni kundule
How do you start comparing this mabati rolling mills that has a terminal the size of a cowshade and three local planes in front of it with JKIA? View attachment 2210881View attachment 2210883
Yani kuhusika na uhaini ni bila sababu ....mama ni adui wa uzalendo na yoyote aliye adui wa uzalendo ndiyo MUHUNI MWENYEWE, Kwani huku sikia IGP wa polisi alipo sema kuhusu ukatiri wa panya road na matumizi ya madawa ya kulevya kwani ujui wanaomiliki mfumo wa biashara ya ngada tz ni team msoga ....sasa madawa yamerudi na panya road , wewe ujiulizi mbona chadema wakitoa pua tu kuandamana au kufanya mkutana sekunde tu polisi zaidi ya 400 wanakuwa wameshafika na kuwa sambaratisha kwa marungu ila panya road wana funga mitaa hata kumi kwa zaidi ya masaa 6 hakuna hata polisi mmoja na simu ya polisi awapokeiMimi sitaacha kushangaa comment za kipumbavu kama hii...
1.Miradi mingi fedha ni za kukopa achambue kwani ilikua na ulazima gani?tanzanite Bridge hela 80%imetoka Korea,Sgr awamu ya pili na tatu wamekopa,Upanuzi wa bandari world bank, Kijazi interchange world bank,Brt phase ya pili mkopo,Kama ulitaka kujua umeshajua
2.Hajawahi kutakana apendwe na mtu mara zote amekua akisimamia haki na sheria basi
3.Kuhusu kuifafanisha US na Tanzania hapo emekurupuka kidogo.
Mlianza kumchukia huyu Mama bila sababu sasa mnaanza kuzitengneza sababu lakini bado hazina mashiko yoyote