Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In sub Sahara Africa only Kenya and South Africa have hospitals dedicated entirely for children. Kenya again has now completed construction of a Hospital dedicated for women and children only. Hongera nchi yangu 👏 🤝 🇰🇪 , that's why we have the 2nd best healthcare in Africa.

Kenya Women and Children's Wellness Centre





 
Heheheheeee alafu kuna mapunga wanafananisha na airport ya medieval era [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Lile Gofu lilitutesa miaka hiyo ya 2000-2010. Enzi hizo tupo Skyscrapercity , ilikua hata ukilalamikia huduma mbovu za KQ unaambiwa panda ya kwenu[emoji1787]. ***** leo ATCL inakamua international Flights kadhaa na tuna uwanja mzuri. Kweli anayecheka wa mwisho anacheka kwa sauti[emoji41]




 
Hapo nani alituingize cha Kike asee..

Mbona Habari za kusikitisha sana hizi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani JNIA haina terminals zaidi ya 1?

Hili ni boma la ng'ombe sio terminal 🤣

 
Tangu lini routes sita za international zikawa "kadhaa"? 😂😂
 
The day Any Time Cancellation Limited will reach these heights kujeni tuongee

 
Mimi sitaacha kushangaa comment za kipumbavu kama hii...
1.Miradi mingi fedha ni za kukopa achambue kwani ilikua na ulazima gani?tanzanite Bridge hela 80%imetoka Korea,Sgr awamu ya pili na tatu wamekopa,Upanuzi wa bandari world bank, Kijazi interchange world bank,Brt phase ya pili mkopo,Kama ulitaka kujua umeshajua
2.Hajawahi kutakana apendwe na mtu mara zote amekua akisimamia haki na sheria basi
3.Kuhusu kuifafanisha US na Tanzania hapo emekurupuka kidogo.
Mlianza kumchukia huyu Mama bila sababu sasa mnaanza kuzitengneza sababu lakini bado hazina mashiko yoyote
 

Simchukii namuambia ukweli.
Kuna tofauti kubwa kati ya kuchukiwa na kuambiwa ukweli.
Ni mara ngapi nimeandika humu watu wamkosoe kwa adabu wasitumie lugha za matusi?
Ni mara ngapi nimekosana na watu humu kwa kuwaambia tu wakosoe kwa adabu?
Mihemuko peleka huko unakochezaga.
 
Finally Tanzania has found a President who is ready to speak the truth without fear😂😂

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…