Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

i knew somethng was amiss with yesterday's list.

now this is the true size of the kenyan economy, ≈$124 B.! since we grew at 5.7% last year. 😁😁😁😁😁 no miracles here, only facts and logics apply..

Tony254, whts your take please

see for yourself👇🏽

 
Sasa kwa nini uko bize kushangalia kumbe hata basic needs ni shida kwenu ku-afford?!! Uhakika tu wa kula hamna!. Stupid!!.
 
Terminal 2 iko na ndege moja😂😂😂

View attachment 2210174
Wakati wa covid JKIA ilikuwa na ndege ngapi kwa bridge?!JNIA TB3 imefunguliwa almost mwezi August mwishoni 2019, Covid imeanza sumbua dunia October kama si November 2019, Imekuwa kwny full swing 2020 mpk leo mambo hayajakaa sawa ulitegemea ndege za kujaza hizo bridge zinatoka kwa nyanya ako?!
 
ya bongo hiyo. mme jaribu. ss atleast mme rudi tena top10! mlipo kuwemo hapo awal..

hapo nyumae eastern africa ilikua sokwe la kicheko,
na sio tu barani afrika, bali duniani kote.. but roundi hii sio mchezo mzazi.. kilakitu mwake mwake babake.. atleast nchi tatu sasa kwenye kumi bora... afueni

 
Angalia number plate wewe. Hii picha sio ya Kenya. Hapa Kenya number plate ya nyuma huwa na rangi ya manjano. Kwa hii picha yako hayo magari yana number plate ya nyuma yenye rangi nyeupe na maandishi ya samawati.
View attachment 2210110
Tena hata mm wkt napost hiyo picha nilishangaa mbona hyo bus terminal ina mazingira ya kistaarabu kdg kuliko hizo zingine, kumbe co Kunyaland, haya nimekuwekea mzigo mwingine[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…