Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ujuaji mwingi akili kisoda, Dar es salaam imetokana na maneno ya kiarabu "Bandur al salaam"

Hakuna lugha inayojitegemea kwa 100%

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Why can't they do the same with other embassies in this region especially Tanzania where some embassadors representing their countries in Tanzania opt to reside in Nairobi?
 
Instead of working hard nyinyi mnangoja bahati nasibu😂😂
 
Dar es salaam is synonymous to Jerusalem both mean City of peace, place of peace, haven of peace etc.

Dar es salaam is more swahili than arabic though it derived its meaning from Arabic.
Do you even understand yourself? Umesema vizuri Dar is slum derived its name and meaning from Arabic, tena unasema kwamba Dar is slum is more Swahili than Arabic. So which is which?😂😂
 
I haven't mentioned Blue Duiker anywhere. Mt. Kenya Duiker and Blue Duiker are two different species. Unagoogle majibu na unataka upingane na mtu anajua. Wee ni mtu wa kupuza tu. You're not worth my time.[emoji706][emoji706]
Nmefatilia specie zote za hao Duikers na hakuna hata moja inayopatikana specifically Kenya, Sas wew utuambie ni spiece gan hyo inayopatika Kenya peke yake.

Ila kuna specie moja tu ya hao duiker inapatikana Tanzania peke yake. Haya mpira mpira unachezwa golini kwako[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Hebu tutafakari kidogo. Hawa wanyama kama wanapatikana Kenya tuu mbona sasa wana majina ya kizungu?
Huyo anajifariji tu hakuna mnyama apatikane Kenya asiwepo Tz ila kuna wanyama wapo Tz huwezi kuwapata dunia nzima, hilo linasemwa kila siku na ndiyo maana Tz is the epicenter ya utalii duniani.
 
Ss kama hujitoshelezi kwa chakula unawezaje kuji compare na mtu anayejitosheleza kwa chakula? Huoni aibu? Wakuu njoeni muone Mungiki kakubali huku kwamba Tz hakuna njaa ila kwao kuna njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
When I say Kenya control Tanzanian economy I mean this.

Another one assembled in Kenya by Kenyans for Tanzanians by AVA.

 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kenyan Embassy in Dar es Salaam

On the other hand, Tanzanian High Commission in Kenya is located on the 9th floor of this office building in central Nairobi


I don gerrit
 
Tatizo lenu ni uchafu, hyo mitaa uliyoweka ambayo kila siku mnapost hiyo hiyo ni michafu kupita maelezo, hata wewe mwenyewe umeshawahi kuchukua post yangu ya humu jukwaani ukaipeleka twitter ukilia kuhusu uchafu uliopitiliza. Mnachofanya ni kuweka lipstick zen mnapost, huo ni upumbavu ndio maana on ground hamtoacha kulilia mitaa ya wenzenu tuliostaarabika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Hapa leo ameongea ukweli mchungu kwa wote waliozoea kupangiwa kila kitu na wazungu.

 

Unakumbuka ile tweet hiyo kondoo ililalamika kuhusu uchafu Nairobi! [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuta nyingine akilalamika kuhusu lamu port.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…