Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bernard Mwarome. Ako Bayern youth side. He is Kenyan. So wivu mtaacha
MWAROME-BAYERN.jpg
 
Huwezi chukua mda ukasoma link? Ama ni mazoea ya kupayuka tu??
hakuna kipya kilichoandikwa zaidi ya "will and shall"....ndio maana nimeona ni upuuzi kusoma habari nzima.

halafu kwanza link yako haizungumzii progress ya tatu city per se....inazungumzia kampuni ambayo ime-lease eneo la kujenga magodauni.
 
Back
Top Bottom