Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuelimisha vilaza ni kazi ngumu mno, haswa mtanzania aliekata kauli kuamini fikra zake, itakua unapigia mbuzi guitar, can't dance to your 'tune' (fact) 😂 😂 😂 😂 ..,
Mungeanza kujielimisha Ili msiwe mnalia Lia kwa njaa kali..

Mwaka huu sijui hata kama magari ya kunyonya vyoo yatapata tenda 😆😆😆😆



 
zen watanganyika wanadai eti kenya tunakufa njaa, zen on the other hand wanaiita kenya eti kunyaland.. nchi itakuaje kunia-land na hakuna cha kukula, kuna njaa..!?🤔 hivi asiyekula ata kunia aje

K3nyaland tuna chakula kingi tu.!👇🏽
 
Huyu ukimuuliza choo kiko wapi hakuoneshi! Hajui choo ni nini!
Tony254 unaona wenzio wanaojua kula ila hawajui wapi pa ku-defecate?
 
Hahaha. Nimecheka sana. Ugali man.
 
Sio Tanzania tunasema mnakufa njaa, duniani kote wanajua Kenya watu wanakufa njaa

 
Benefits of devolution. As County Governments in Kenya are funding such projects, Tanzanian main government is still following donors to give them grants or donations for hospitals.

This is Nakuru County Referral Hospital

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…