Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,750
data base management systems sio? fool sasa kama unadharau MS Access ambayo ina-create foundation ya Database unawezaje uka-brag kuhusu programming if platforms that enable interaction unazidhrau?Why should I tell you the obvious. Kama hujui meaning ya the word basic, DBMS jargon utaelewa aje?
Tunajiamin kwenye peace negotiations ama vip😂ama kwasababu hatuna magaidi
Nilisema wapi nimedharau access? Nilisema munafunzwa basics. Learn to comprehend kabla uropokwe usichokijua.data base management systems sio? fool sasa kama unadharau MS Access ambayo ina-create foundation ya Database unawezaje uka-brag kuhusu programming?
Usichojua ni kwamba loans za IMF ni cheaper (zina low interest rate) kushinda loans za China, au Eurobond au loans from commercial banks kama nyinyi mnavyochukua loans za Standard Chartered bank kujenga SGR yenu.another loan 🤣🤣
shida sio kua cheaper shida ni kua uchumi wenu umekufa 🤣🤣🤣🤣Usichojua ni kwamba loans za IMF ni cheaper (zina low interest rate) kushinda loans za China, au Eurobond au loans from commercial banks kama nyinyi mnavyochukua loans za Standard Chartered bank kujenga SGR yenu.
Asante mzee. Kumbe wakati mwingine wewe huwa muungwana na unaweka mchezo kando. Asante. Huyo mzee kweli aliitoa Kenya kwenye shimo kabisa.kwa wakenya wote poleni kwa msiba mzito wa rais mwai kibaki na kwa ufahamu wangu mdogo rais kibaki ni miongoni mwa marais aliekua mzalendo sana na nchi ya kenya na aliamsha uchumi wa kenya kivitendo hakika kenya na africa imepoteza kiongozi mzalendo sana 🙏🙏
poleni sana wakenya wote Tony254 Teargas nairobae Don YF Simba 254 etc
Ninyi mpo tofauti sana, kumbe msiba kama huu kwenu wala si chochoteAsante mzee. Kumbe wakati mwingine wewe huwa muungwana na unaweka mchezo kando. Asante. Huyo mzee kweli aliitoa Kenya kwenye shimo kabisa.
$1.5 billion haiwezi kuitwa soft loan. Hio ni pesa nyingi sana. Commercial banks huwa zinatoa loans mbaya sana. Ndio maana hamjaambiwa loan duration na interest rate p.a ni kiasi gani. Halafu mumeomba Standard Chartered wawapatie loan ya pili tena hivi majuzi.shida sio kua cheaper shida ni kua uchumi wenu umekufa 🤣🤣🤣🤣
alaf SGR inapokea soft loan kama ulikua hujui 😂😂👇👇
View attachment 2201086
Huyo mtu yeye mwenyewe ndio haoni msiba hapo. Mimi kwangu ni pigo kubwa. Mimi ninajua Kibaki alipotutoa na alipotufikisha. Hata Magu alipofariki usidhani kwamba kila Mtanzania alihuzunika, kuna waliofurahi sana. Binadamu tupo hivyo.Ninyi mpo tofauti sana, kumbe msiba kama huu kwenu wala si chochote
Museveni ni mjinga sana aisee. UG bado ni LDC, wao wana gdp takriban ya $40 billion lakini wanatumia $1.2 billion kwenye military yao kila mwaka na ukumbuke hawana navy. Wanajaribu kushindana na Kenya na Gdp ya Kenya ni almost triple ya Uganda??? Wanashindana na ndovu kunya, watapasuka msamba. Wangeinvest kwenye afya, elimu na miundo mbinu ili watoke LDC. Unajua Uganda wamekaribia sana kutoka LDC. Museveni akiweka ujinga kando, watakuwa middle income hata in the next three years kwa maana gni per capita yao imekaribia kufika ya middle income level.
90% Tanzania's loans are from WB, IMF, AfDB and domestic financial lenders, the opposite is the same in Kenya[emoji1][emoji23][emoji23][emoji1]Usichojua ni kwamba loans za IMF ni cheaper (zina low interest rate) kushinda loans za China, au Eurobond au loans from commercial banks kama nyinyi mnavyochukua loans za Standard Chartered bank kujenga SGR yenu.
Asikudanganye mtu Tz military spending ni kubwa pia ila haiwi reported mambo yao kimyakimya na sidhani kama wanakuwa audited.
Waambie wakuonyeshe 8 lanes road nje ya nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukiambiwa ni arusha unakasirika [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2201047
Shida yako nn? Wakati Migingo ipo chini yao?Museveni ni mjinga sana aisee. UG bado ni LDC, wao wana gdp takriban ya $40 billion lakini wanatumia $1.2 billion kwenye military yao kila mwaka na ukumbuke hawana navy. Wanajaribu kushindana na Kenya na Gdp ya Kenya ni almost triple ya Uganda??? Wanashindana na ndovu kunya, watapasuka msamba. Wangeinvest kwenye afya, elimu na miundo mbinu ili watoke LDC. Unajua Uganda wamekaribia sana kutoka LDC. Museveni akiweka ujinga kando, watakuwa middle income hata in the next three years kwa maana gni per capita yao imekaribia kufika ya middle income level.