Hizi ndio vitu zilishtua Baba Levo. 😀Almost all the residential areas in Nairobi has malls. This is Southfield mall in Pipeline.
View attachment 2200570
View attachment 2200571
View attachment 2200572
View attachment 2200573
View attachment 2200574
View attachment 2200575
View attachment 2200576
View attachment 2200577
View attachment 2200578
View attachment 2200579
View attachment 2200580
Kajifunze kiswaili ndio uje kuandkaaNairobery...jiji juu la Afrika mashariki na kati View attachment 2200309
Heheheheeee km 8 ni elevated section, unaweza ukasimama mwanzo ukaona mpk mwisho sasa hyo ni nn kama co flyover hyo
Unajua kuna tofauti ya hio shule moja ku "make progress in ICT" as compared to introducing it in the syllabus..ikiwekwa kwa syllabus inamaanisha it's a requirement in every government or non government learning institution..Mkuu TZ tumepiga hatua nzuri kwenye ICT Miaka mingi sana kwa O-Level, chukulia mfano hii shule inaitwa Hekima Girls: Hekima Girls Secondary School ipo kijijini huko Bukoba achilia mbali kina st. something lakini inatumia syllabus ya Tanzania: Hekima Girls Secondary School na wanapiga front-end na database query na mambo kibao.
Inshu ni kwamba jirani wakifanya kitu lazima wapige kelele kinyama
View attachment 2200200
Kajifunze kiswaili ndio uje kuandkaa
Icho kiti mbona km walichukua bar[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]tafadhaali mkumbishe akirudisheUkiangalia huu mwili na hiki kichwa ni kwamba kwa sasa jamaa atakuwa keshagonga 40 na bado anasoma, ss sijui ata enjoy lini, watu tuna umri wa wastani tayari tuna future, wengine bado wanasoma licha ya kuwa watu wazima [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2200404View attachment 2200405
Nilishakubali mimi mambo ya programming sio mjuzi kama wengine wenu. Mimi sio king'ang'anizi kwa mambo ambayo sina ujuzi nao kama joto la jiwe ambaye anajifanya ni mjuzi kwenye nyanja zote. Aisee dickchiller na Chamoto asanteni kwa darasa mlionipatia. Nimejifunza kitu hapo.Tony sidhani kama unaufahamu mzuri wa haya mambo. Unaposema kuwa python ni ngumu kuliko C++ unamaanisha nini?
Python ni very high level programming language kuliko C++, ikimaanisha kuwa imerahisishwa sana. Concepts kama pointers ambazo zipo kwenye C na C++ huwa hazipo kwenye python. Kwa lugha rahisi python ni kama gari yenye automatic gear wakati C na C++ ni ile yenye manual gear.
Zamani ni subjective. Sisi wengine tulianza na C, na mpaka leo C inatumika sana, hiyo simu yako microchips zake zina run C.
Kinadharia unaweza kuprogram kitu chochote kwa language yoyote (Turing computability) lakini kuna baadhi ya language zinafaa zaidi kwa masuala fulani (mf. web vs automotive)
Python huwa na limitations inapokuja kwenye microcontrollers programming ambapo memory iliyopo kwenye chip huwa ni ndogo sana. Kwa kutumia C++ na hasa C unaweza kutumia memory hiyo ndogo kwa ufanisi zaidi.
C++ ilikuwepo kabla ya C-sharp bro.
Shule nyingi sana zinatumia hiyo syllabus, as a matter of fact shule zote zenye somo la ICT zinatumia hiyo syllabus. Hiyo sio syllabus yao bali ni ya Tanzania na nyingine nliowahi kuwaona wakiitumia ni Hindu Mandari schools DSMUnajua kuna tofauti ya hio shule moja ku "make progress in ICT" as compared to introducing it in the syllabus..ikiwekwa kwa syllabus inamaanisha it's a requirement in every government or non government learning institution..
You really think hakuna shule ambazo hazija embrace hio tech already? My alma mater did enzi zetu baba..
You can correct me for the benefit of many pleaseWhere did you read that Nairobi expressway's cost is $160m?
Which BRT in Nairobi?, do you really understand what BRT is?Nairobi BRT will work seamlessly with the Nairobi Commuter rail. Everything is adding up pole pole. Nairobi International Finance Center is dream come true.
Hivi mnasahau kwamba Dar is one among the safest cities in Africa while Nairobi is the most dangerous city next to J'burg?Kabisa huko kutakuw na culture shock, mpka police in a lazy nation anaporwa cm[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiswahili sanifu ulipaswa : Kwanza unajua hivi Sasa ni saa ngapi?[emoji23][emoji23][emoji23]Hueleweki, kwanza unajua saa hii ni saa ngapi? Unafaa ushaanza kumulika watu na touch na kupuliza firimbi in case uone any mischief around.
Kadri siku zinavyozidi kwenda ndio inadhihirika jinsi wakenya msivyojua Mambo mengi, endeleeni kujifunza toka Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23]Sawa umeshinda. Wewe ndio mtaalam. Mimi sina ujinga wa kubisha mambo ambayo siyaelewi vizuri kama vile joto la jiwe hupenda kufanya