Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Pole sana πππ, fika Dar uje utoe ushamba, vibes za Dar hazipo CBD kabisa, kama ulifkir CBD is the place where Tanzanians go to vibe then sorry for you.. Vibes ndani ya Dar zipo Mikocheni, Masaki, Sinza, Tabata, Mbezi.. beach .. hakuna picha za mbezi beach humu, viwanja vya Mikocheni, viwanja vya masaki, wala picha za Tabata kwa wala bata, wala picha cha Sinza na viwanja vyake.. au kwako vibes ni kuona gorofa .. wewe ni lishamba la wapi.?Nairobi has a soul from CBD to suburbs you can feel the vibe. Dar hakuna kitu cha maana hakuna area ingine nyinyi hupost apart from the small area surrounding CBD. Dar ni ushago kubwa tu, lazima muingie town kuona ghorofa. π€£ π€£ π€£
Sinza ni ushago, cha maana iko tu kando ya barabara, hivyo ndio neighborhoods zenu ziko ju hakuna paved roads ndani ya suburbs. π€£π€£π€£ Dar ni ushago bana.Pole sana πππ, fika Dar uje utoe ushamba, vibes za Dar hazipo CBD kabisa, kama ulifkir CBD is the place where Tanzanians go to vibe then sorry for you.. Vibes ndani ya Dar zipo Mikocheni, Masaki, Sinza, Tabata, Mbezi.. beach .. hakuna picha za mbezi beach humu, viwanja vya Mikocheni, viwanja vya masaki, wala picha za Tabata kwa wala bata, wala picha cha Sinza na viwanja vyake.. au kwako vibes ni kuona gorofa .. wewe ni lishamba la wapi.?
Ila jamaa sijui wew ni chizi au ni chuki au ni wivu sielewi u ar claiming kwamba kinachoonekana hapo ni gorofa tano kando ya barabara πUnataka kuona hizi ghorofa tano kando ya barabara. π€£ π€£ π€£
π Acha utopolo mi sio dogo we ng'ombe wa maziwa.πππnna supporti sana hoja yako, ila uko na uhuru wa kuchagua madude zilizotulia kamavile cityhopper.. uhuru ni wakwako dogo
Kwahyo Karen ni ushagoo kwasababu hakuna lami.? πππSinza ni ushago, cha maana iko tu kando ya barabara, hivyo ndio neighborhoods zenu ziko ju hakuna paved roads ndani ya suburbs. π€£π€£π€£ Dar ni ushago bana.
Sinza hakuna lami kwenye suburbs πππSinza ni ushago, cha maana iko tu kando ya barabara, hivyo ndio neighborhoods zenu ziko ju hakuna paved roads ndani ya suburbs. π€£π€£π€£ Dar ni ushago bana.
If matatu is for everyone how do you get those preference you mentioned,as I know they must be in a queue! first in first out, remember the fast life of the cities you idiot!.Matatu culture is for clowns!Ni uzee. Nobody is forced to use matatus with loud music. Most young people like to listen to music. Older people like to travel in silence. There's a matatu for everyone's preferences.
Aisee watu Tanzania wapo serious kweli ku make money !!Million 550 ni ndogo sana kwa hii mansion
We nani alukuzuia Kia civil cervant ?wachaga uchawiWewe wacha kuropoka ropoka, wewe c ni civil servant wewe? Mbona unaropoka sn? Huna data au mvivu kutafuta data? Tuna civil servant mizigo sn nchi hii.
Nikiongea mimi wananiita mkenyatuusan hawa wazembe watapingana na wewe ila ukweli ni kwamba kama kuna sector moja ambayo inafanya vizuri sana Kenya ni sector ya benki. Hii sector hata haina upinzani ukanda huu. Benki za Kenya ni kubwa sana kushinda za Tanzania kwenye kila metric tukianzia asset size, tukienda kwenye revenue au turnover, tukienda kwenye net profit tukienda kwenye dividend payout, na mambo mengi tu. Halafu haya ni mambo yanayoweza kuwa verified mtandaoni kwa sababu kisheria kila bank inashurutishwa kupublish its financial information kwenye magazeti au mitandaoni. Kwa hivyo hii sio information ambayo inafichika, hii ni information rahisi sana kupata mitandaoni na kufanya comparison kati ya benki za TZ na KE. Battle ya mabenki information yote ipo mitandaoni na ni rahisi kuipata ndio maana huwa hawapendi battle ya mabenki kwa maana wanajua evidence imejaa mitandaoni na tunaweza kuileta huku na kuwaaaibisha vibaya. Walete battle kwenye mambo mengine tu, wawachane na sector ya benki na sector ya ICT. Hizi sector mbili Tanzania bado mpo stone-age na sio matusi, naongea ukweli.
Wako hapa kuleta porojo sio factsTanzanians in this thread hate truth and that's why they are fighting their fellow countrymen who doesn't subscribe to their lies and denials. I have witnessed this trend with so many of them attacking tuusan , Walker255 , The Sunk Cost Fallacy and so many other Tanzanians who wanted to speak the truth.
πππ What's so special here.?Dar has no soul, it has no urban vibe. Ni ukule viazi, enda beach alafu urudi uswazi ulale. π€£ π€£ π€£ π€£ π€£
Strarehe za jiji hamzijui nyi washamaba.
Umeshangaa hakuna activities za kukula viazi karai na ku idle kando ya bahari. π€£ π€£ π€£πππ What's so special here.?
nbi tunamegga sana tukija swala la vaibuπππ Kwahyo hapa umeonyesha nini.? Dar is the city where EA's super Stars live, kila vibe unajua wewe lipo uku hata zile vibe mnaonaga tu kwa TV's pia zipo, u guys got nothing ya kushindana na DSM likija suala la usafiri and all them vibes you ar talking about