What's the need of having more banks which are all making losses with total assets less than one bank in Kenya?Teargas alinibishia bila data nikaona ninyamaze since ukweli haujifichi. Na hii ndio ishara tosha BOT ikiamua kusimamia vyema financial business utagundua TZ iko mbali sana kuliko yeyote hapa EAC
Ebu taja hizo technologies tuone kama zitakosekana hata South Sudan.Hujui lolote na sina haja ya kukuelewesha, Mwanaume mzima unatoa facts kwa kusikiliza majigambo? Nipo kwenye financial institutions tokea namaliza chuo, technologies tunazotumia TZ kwenye financial institutions hakuna wa kucompare hapa EAC isipokua maneno ya mtandaoni ndio watu wanaamini ujinga
Naona six lanes.
Hauna shule yyte upo upo tuNlishaelezea hii point usinipotezee muda dogo, rudi post za nyuma kasome
😀 Hapa Magufuli alifanya kazi nzuri sana, implementation ya BRT Morocco to Ubungo inapaswa iwe bei ya chinisana
We shule imekusaidiajeHauna shule yyte upo upo tu
😀 Magu angekua hai hizi lanes zingeenda hadi Chalinze, too sad wanaweka 4 lanes now
Huoni hata kwenye mahojiano sipindipindi.We shule imekusaidiaje
We mshamba Kenya ilianza hii culture hata kabla uzaliwe, unatupostia hapa picha za juzi from Thailand. 🤣 🤣 🤣 🤣 Hakuna kitu unajua kuhusu hii culture, wacha kujiaibisha ukiokota mapicha kwa mtandao trying to prove your useless point.
Kama kushinda dialogue ndio kipimo cha elimu basi wewe ni limbukeni, wewe ndio wale walikua wanajaza booklets na kuomba zingine then matokeo yakija wana 4. Na watu kama nyinyi uelewa wenu ni mdogo sana maana mpaka mpate maneno mengi ndio muelewe.Huoni hata kwenye mahojiano sipindipindi.
Wewe unapenda sana porojo,tujadili mambo ya muhimu banks,sijawahi Kua kilaza kama wewe tafadhali sana,Sipo hapa kukufurahishaKama kushinda dialogue ndio kipimo cha elimu basi wewe ni limbukeni, wewe ndio wale walikua wanajaza booklets na kuomba zingine then matokeo yakija wana 4. Na watu kama nyinyi uelewa wenu ni mdogo sana maana mpaka mpate maneno mengi ndio muelewe.
By the way kujigamba unajua pia ni moja wapo ya dalili kuwa hujui kitu maana hii dunia ina mambo mengi sana ambapo sidhani kama ni sahihi kudhani kuwa unajua kuliko wenzako
Sasa kama mimi ni kilaza kuna haja gani ya kujadili, badili mentality yako ndio uje ukitaka facts. Siwezi kupoteza muda kwa kumuelewesha mtu limbukeniWewe unapenda sana porojo,tujadili mambo ya muhimu banks,sijawahi Kua kilaza kama wewe tafadhali sana,Sipo hapa kukufurahisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tony anasema wao wameanza miaka ishirini iliyopita? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwaka 2000s?? Kuna wakulungwa wa Manila Phillipines na Jeepney zao wameenza baada ya Vita ya pili ya Dunia.
View attachment 2198352
Ukishaona mambo muhimu huwezi kuyajadili unafanya nn kwenye huu uzi?Sasa kama mimi ni kilaza kuna haja gani ya kujadili, badili mentality yako ndio uje ukitaka facts. Siwezi kupoteza muda kwa kumuelewesha mtu limbukeni
Nieleweshe hapa,mnaunda hayo mabus kila kitu au ni board tu?