El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Exposure to dar hahaha. .....spare us your short temper na stage zinavunda mkojoAnother brainwashed idiot, huko vyuoni mnafundishwa ujinga?
BRT is designed for Mass Transit (Fast transit) and Not parks or resting places.
Unataka watu wakae kwenye Vituo wafanye nini? Hapa sio Uhuru park mnakaa na bahasha zenu na makoti ya suti za mitumba kachumbari oversize asubuhi hadi jioni
In BRT people wait for 2-5 minutes for a bus, why u want them to seat ?
Huna exposure wewe.
[emoji116] [emoji116] [emoji116].msosi mzuri kwa mtu kama mimi mpenda misosi lazima nisifie vitu kama hizo aiseee katika siku uliyopost vitu vya maana vinavyoifunika nairobi nzima ni huo msosi aisee[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] siku zote mnapost pumba hiyo kitu ndiyo mnatakiwa kupata wakenya
Sent using Jamii Forums mobile app
yaan hapo mkuu muruwa kabisa ....koo unaliweka fresh......achana na spenzia anatupigia makelele tu humu...[emoji1] [emoji1] [emoji12][emoji116] [emoji116] [emoji116]
[emoji14] [emoji14] [emoji14] View attachment 575052
Sasa si afadhari sisi tunazo hata hizo, nyie mko Marne ya 18 sasa hivi. Na hizo matatu chafu zimetapakaa mji mzima.Exposure to dar hahaha. .....spare us your short temper na stage zinavunda mkojo
Sent using Jamii Forums mobile app
na phase 2 brt tunawakandamiza next year.....ili wapige kelele vizuriSasa si afadhari sisi tunazo hata hizo, nyie mko Marne ya 18 sasa hivi. Na hizo matatu chafu zimetapakaa mji mzima.
watu wana drunk,smoke nakublast homie so dizain .....kama tupo kwa bob marley hiziwe zi wew flow hizo[emoji1] [emoji1]Iyo ni club gani uko GameOver!,ni kama kumejaa moshi....huhu
Tukipiga na treni ya Umeme aisee hawa jamaa watatukoma,na phase 2 brt tunawakandamiza next year.....ili wapige kelele vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
hii ni simu gani?[emoji116] [emoji116] [emoji116]
[emoji14] [emoji14] [emoji14] View attachment 575052
yaani ni vituko wapo....karne ya kwanza wanaishi kikoloni.....sana washikaji niwakizamani sanaTukipiga na treni ya Umeme aisee hawa jamaa watatukoma,
Hatunaga majigambo ila kwa hawa wapuuzi hakuna namna nyingine,
Treni ya Umeme inaisha 2019,
Halafu JNIA inakamilika 2018 itakuwa ndiyo largest, Advanced na Modern in the region,hapo kumbuka Tushaagiza ndege mupya kwa wazungu
Wao karne hii wanakopa hela na kununua gari Moshi kama hivi
[emoji1] [emoji1]
View attachment 575053View attachment 575054
Halafu huu ndio usafiri wao wa umma eti karne hii,
Halafu wanadai wako middle income.
View attachment 575055View attachment 575056View attachment 575057
DCM, Canter na Leyland
na phase 2 brt tunawakandamiza next year.....ili wapige kelele vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, Mimi ni kijana, naingia viwanja Vingi,Iyo ni club gani uko GameOver!,ni kama kumejaa moshi....huhu
chimboooo. ..[emoji115] [emoji115] [emoji115]Hahaha, Mimi ni kijana, naingia viwanja Vingi,
Sometimes club, sometimes pub, sometimes Bar, mradi tu Bata.
Nchi yangu Tanzania ni ya Amani, nawezaamsha bagamoyo hata sasa hivi and nothing happens..,
Provided I am spending my own money, (pesa ninayoitafuta mwenyewe.)
View attachment 575058
Dogo lala sasa, acha wakongwe tule Bata.hii ni simu gani?
maana anaweweseka kinyama........mara hivi mara vile haeleweki.....alale tu[emoji115] [emoji115] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Dogo lala sasa, acha wakongwe tule Bata.
Huyu dogo kajifungia Kibera anaogopa hata kutoka nje maana wakora hii ni mida yao,
wakenya wataishi kimashaka daima .......kama wakiendelea kutobadilika........[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huyu dogo kajifungia Kibera anaogopa hata kutoka nje maana wakora hii ni mida yao,
Nairobi Kenya- the terrorism hotbed (CNN)
wakenya wataishi kimashaka daima .......kama wakiendelea kutobadilika........[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huyu dogo kajifungia Kibera anaogopa hata kutoka nje maana wakora hii ni mida yao,
Nairobi Kenya- the terrorism hotbed (CNN)
sema asij kuwae nayeye pia ni miongoni mwa wakora.....akawa hapa anafanya ndiyo sehemu yake ya kupush mda.....maana kwa kenya wakora ni wengi hawatabiliki hajulikani mbaya yupi mwema yupi[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Huyu dogo kajifungia Kibera anaogopa hata kutoka nje maana wakora hii ni mida yao,
Nairobi Kenya- the terrorism hotbed (CNN)
Yaani wakigeukia huku wakora, huku Mungiki, hapo bado mziki mnene wa Yale mazombi ya Alshabaab, A.K.a militia wavaa yebo yebo .wakenya wataishi kimashaka daima .......kama wakiendelea kutobadilika........[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app