Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

am telling u kenya is another smaller 'SA'.. ata kando na wacongolee, je wagandarΓ©e na warwandii nayo.! uzuri tu we are not xenophobic like wtziis, else...... πŸ’£πŸ’£.... πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯
 
Umenikumbusha ''siguzi'' [emoji23][emoji23][emoji23]
yani namaanisha, mshahara bado iko intact kwenye benki.! a sidehustle of upto Tsh2.4M within 4weeks is sufficient enough atleast for now. hate me love me but sio majivuno, ni venye pia nyie wtz hujibeba huku, ndo nikaamua acha pia na mm ni waproove othws, venye pia sisi ufanyanga..

kwani huyu sio wwπŸ‘‡πŸ½
 
Sasa unaforce na sisi tunaishi huku πŸ˜…πŸ˜… sasa utasaidika aje? In fact huku Msa, wale watu wa water purifying pale kwa water dispenser hufanya refill ya 10L na 50 bob πŸ˜… hebu nikipata time na nikikumbuka kesho nitapiga picha
Hakuna maji ya bei hiyo hata ulie

Bei ya maji ni hii and soon yanadouble



 
am telling u kenya is another small 'SA'.. ata kando na wacongolee, je wagandarΓ©e na warwandii nayo.! uzuri tu we are not xenophobic like wtziis, else...... [emoji378][emoji378].... [emoji95][emoji95][emoji91]
We welcome everyone except Kunyans only[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Eti kaonana na bbake Rihanna sasa babake Rihanna ndo nani si bora angeonana na Rihanna mwenyewe, ila acha tungoje matokeo ya hii ziara yake tunatumai yatakua immediate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…