Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anatuaibusha.
yaani kuna mahali pakubwa sana anakwama ,hayo mambo ni ya mawaziri wa sanaa,
Raisi amekuwa cheap president kuonekana onekana hovyo kwenye nchi za watu kiasi cha kwamba anaonekana mzururaji tu anahaibisha sana wadhifa wa uraisi,tokea aende huko kashindwa hata kuonana na president mwenzake biden hii inaonyesha how is fool ,

SSH amekuwa kama Raia wakawaida kwa huko USA,hii imekaa vibaya sana wanaomshauri wanamchoresha tu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Muda wa Rupurupu hata mshahara siguzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2196979
Hizo hata haziwezi kulisha Wiki mbili nimehesabu and it's around just 15,000ksh add or take 1000 Sasa usipo Giza mshahara si utaishi Maisha kama ya kuku
 
swali je kaonana na biden?

siku zote raisi anapokuwa nchi ya ugenini lazima aonane na present mwenzake mwenjeji

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Magufuli ndio angeonana na Biden, yn Biden mwenyewe angepambana akutane na chuma, alafu chuma vile kilivyokuwa na dharau kingempiga piga mgongoni Biden, Magu noma sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakenya wote humu ndani wanatamani wangelikuwa Watz mana nchi yetu ina fursa nyingi mno, Wakenya wengi ninaokutana nao nikiwahoji hawataki kurudi kwao, leo tu kuna mkunya nimekutana naye kazini anakuambia hii nchi yenu kwakweli ni Eden ya duniani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakenya eti wanasema Watz tunaringa sana, sasa sisi tufanye nini wkt Mungu ndiye aliyetupangia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe Soja, Magu ni mzoga sahii, move on and stop creating fake scenarios in your head.
 
Ready to pounce in DRC I foresee an advert in French too!
Drc guys have started to increase in Nairobi, sijui it's due to them joining eac or what they very many in Thika road selling stuff, think the government should make encourage us to go there and make use of the huge market base they have. From documentaries I have seen their juakali sector is not vibrant
 
That depends on where you buy that bottle is as cheap as 100 when you have your own plastic container to replace
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…