Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chunga hiyo picha dada yako asiione atakusumbua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Four Angle. Kwani socks hamjaziona ?
Dokta gani huyu hata socks mtihani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tumeongeza Exposure kidogo, shadow, Saturation , vibrance ili tuone Kiatu vizuri. [emoji1787]

View attachment 2193459
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Atakua ameshaona Tai na Viatu vya kijana vinakuaje , sio yeye kaenda kutandua Tai kama jani la tumbaku sijui Nairobi Museum kafunga shingoni kitu cha Agrarian Revolution [emoji1787]
 
Tumeongeza Exposure kidogo, shadow, Saturation , vibrance ili tuone Kiatu vizuri. [emoji1787]

View attachment 2193459

Yaani nguo na viatu ambavyo vilishapitwa na fashion bongo, kule kwao ndo vinaenda na wakati.

Ameshindwa kabisa kununua jeans zake kadhaa nyeusi au kaki na viatu vya ''kigentlemen'' (tatizo uchumi)

Kuna siku walikuwa wanapost humu maduka ya nguo zile brand za denim...kumbe hata hawazivai! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Atakua ameshaona Tai na Viatu vya kijana vinakuaje , sio yeye kaenda kutandua Tai kama jani la tumbaku sijui Nairobi Museum kafunga shingoni kitu cha Agrarian Revolution [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Si kakwambia sio zake kwann unalazimisha ziwe zake? Kakwambia ka download mtandaoni kama wewe ulivyo download hizi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2193433

Hakuna KUGUZA mshahara mwaka huu , ni mwendo wa Rupurupu tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dah humu Kuna watu watata sana.. Kwa kuchimba chimba Sio mchezo.

Nashukuru sana huu uzi. Nimeshiba maarifa ya kutosha.
Humu kila kitu kinapatikana, elimu, maarifa na kejeli pia zimo, ukija na shombo watu tunakuosha vizuuriii shombo ikuishe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna KUGUZA mshahara mwaka huu , ni mwendo wa Rupurupu tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nadhani atakuwa ameona namma tai inavyotakiwa ifanane.

Ndio maana mademu za Kenya huwa wanashobokea Watanzania. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Humu kila kitu kinapatikana, elimu, maarifa na kejeli pia zimo, ukija na shombo watu tunakuosha vizuuriii shombo ikuishe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Humu Kuna wataalam sana asee... Watu wa Tehama wako vizuri mno humu. Kuna ishu ndogo ndogo na note humu Sio mchezo.

Hongereni Kwa battle, hakika bendera ya Bongo inapepea vyema.
 
Si kakwambia sio zake kwann unalazimisha ziwe zake? Kakwambia ka download mtandaoni kama wewe ulivyo download hizi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2193433
hivi uli screenshot hii page mzee... hii nayo kali 😆😆. heb idelete kwenye hio database yako tafadhal..

ila hii siku nakumbuka nikiku prove wrong mzee. hadi ukaingia chini ya waba

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…