Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

watanzania kitu gan tuko proud nacho dhidi ya wakenya ambacho kimefanywa au kimeanzishwa na serikali ya sasa? aise we really need leaders with great vision!
also tbh, we’re really now living in a hopeless country [emoji3525]
Kwani miradi za Magufuli nani atazimaliza kama sio mama? JNHPP na SGR nani atazimaliza kama sio mama? Aliyeanzisha na atakayemaliza wote wanastahili kupewa sifa. Sio aliyeanzisha pekee. Pia hamna pesa ya kutosha ya kuanzisha miradi mikubwa mingine. JNHPP na SGR phase 1 mpaka 5 zitanyonya pesa kama wazimu. Hamna hiyo pesa ya kuanzisha miradi mipya.
 
Kwanini hutaki kuzungumzia na hasara za "remittances" pia badala yake unataka kuzungumzia faida pekee?, article niliyokuwekea inazungumzia "both, pros and cons" za remittances. Jambo Moja ambalo tumekubaliana ni kwamba "remittances" haziwi regarded as "capital inflow" by central banks

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nani anabeza umuhimu wa "remittances?", hiyo ni pesa halali lazima ni muhimu, ninachopinga ni kwamba hiyo sio "Capital inflow", pia remmitances zikiwa nyingi huwa zinavuruga uchumi wa nchi, kwasababu hakuna uwiano wa kiwango cha pesa kinachozunguka ndani ya nchi vs uzalishaji wa bidhaa na huduma, matokeo yake ni "inflation rate" kuongezeka, kuzaa jamii tegemezi na uchumi wa nchi kutokua kwa kasi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Weka post niliyosema "remittances" haina umuhimu kwa uchumi wa Kenya, kawaida mkizidiwa huwa mnajaribu kupitisha ili kushinda mjadala, weka hiyo post ili watu waone.[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
This is very minor issue, if tourists are kidnaped, robbed and killed in Kenya and Nigeria, still nothing happens.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wrong is wrong, stop diluting it based on other forms,carry your own cross. And it's always a non issue until it happens to a close person like your wife,sister or daughter but it doesn't have to get there for you to realize! Shun wrong doing..
 
Ni sawa remittance ina negative effects kama jambo lolote lile. Lakini kwa jumla kwa nchi masikini kwanza ambayo haizalishi dhahabu ya $3 billion kila mwaka kama nyinyi huwezi kupinga kwamba dollars tunazopata kupitia remittance ni muhimu sana kwa uchumi wa Kenya. Majani chai inaleta $1 billion kila mwaka japo hilo pia unapinga. Tourism inaleta $1 billion kila mwaka. Uuzaji wa maua na mboga pia inaingiza $1 billion kila mwaka katika uchumi wa Kenya, na hili pia najua utapinga.
 
Nyerere copied Kenyatta.

View attachment 2192566
Kwanza neno Uhuru alikua halijui kabla ya kuja Tanzania kuhudhurui sherehe ya uhuru wa Tanganyika 1961. Alipokuja Tanzania ndio alisikia hizo kauli za Uhuru na kazi wakati Nyerere akiwahutubia watanzania kwamba, kupata uhuru haina maana kwamba hatutofanya kazi tena, kumbuka wakati wa ukoloni wananchi walikua wakifanyishwa kazi kwa nguvu, kwahiyo wananchi walianza kuhisi kwamba baada ya kupata uhuru hakuna tena kufanya kazi.



Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha Teargas leo umenyamazisha watu midomo huku. The best 007 huyu jamaa leo ameonyesha picha. Sasa unasemaje?
Picha haina evidence, aweke maelezo tujue uhalali wa picha, hii comment yako tu inaonesha huiamini hyo picha. Mtu yuko JF 24/7 anatoa huduma saa ngp, bora angekuwa ofisini mfano muhasibu tungempa excuse co hospital. Nurse anapata wapi muda wa kuwa mtandaoni masaa 24[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu ni Bwana Mapesa? Koti limefubaaa atakua anauza sample kisiri siri nini na mahela yote yale. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

View attachment 2192669
View attachment 2192670
Afanye kama hivi, aweke picha pembeni caption [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu ni Bwana Mapesa? Koti limefubaaa atakua anauza sample kisiri siri nini na mahela yote yale. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

View attachment 2192669
View attachment 2192670
Kudadadeki, Teargas mzee wa makoti ngp hizo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…