Alfu mm nashangaa Kila nchi ina priorities zake ..Tz imeamua kujenga Flyover 2017 ..sio kwamba ilishindwa miaka ya zaman..bali haikuwa priority miaka hiyo ...
Ni kama nyie mnavyohisi Kupata jengo refu its an issue ..yes for beautification its an issue ..but cio Kwamba Tz inashndwa Kujenga 70flr kama pinnacle ..the issue is just we dont need it and its not a priority ..a country should rather have a hospital or those developers should think of building a school,a hospital .public transit ,an energy station for both rich n poor to benefit rather thn a certain class..remind you PSPF ni twin *35 ..na kabla ya hapo walitaka wajenge one tower ya 70flr..wakabadilisha plans .so as to save money to other public projects ..kama kujenga kiwanda cha sukari ..so its just priorities za nchi ..
Mbona europe hamna jengo la zaidi ya 310m ..does tht make european countries poor ?
By the ....Kenya ni kweli mmeshndwa kujenga daraja kule mombasa ..au the country imeset tu priorities ijenge southern by pass kwanza Nairobi?..i think no its just decision za Government ya Kenya zimekaa kibepari zaidi na kubenefit watu wa class ya juu zaid kuliko ya chini