tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Labda wanatafuta mafutaWanachimba since 2014😀😀😀😀
Ukiskia big white elephant ndio hio


😀😀😀😀 uchumi umeyumba
😀😀😀😀😀😀 mbona unalia sana wanjalaHamna kitu!!
By the way, ilichorwa na mkenya!! You must appreciate the OGs
Unauhakika man?kila kitu kizuri ni chenu acheni izoHamna kitu!!
By the way, ilichorwa na mkenya!! You must appreciate the OGs
nitume nini tena???Lewis254 mbona kimya?Au nyumba zako ni size ya kati tu,Kwani siutume tu kwann unamute? Ukitoa prism ni 4-0
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo ulizoonyesha hapa zile ndiyo flyoverUnajua flyover ni nini?...nawajua interchanges ina flyovers?..... Flyover ni njia nyenye inapitia juu ya lingine...process that
sent from iPhone 7
ameniletea vituko mzee wa iphone7 .......nimeiona fly over moja tu tena namashaka nayo.....wanachimba mashimo nakupitisha vidaraja hafu wanaviita fly over kisa tu kuna kiconnector cha hatua kumi kimekatizaWapi 5 flyover in nairobi????😀😀😀
COLLO umezingua....hapo kwenye picha zako nimeiona fly over moja tu tena nawasiwasi nayo nahata bado hsijazinduliwaUnajua flyover ni nini?...nawajua interchanges ina flyovers?..... Flyover ni njia nyenye inapitia juu ya lingine...process that
sent from iPhone 7
ndiyo utufundishe sasa mwalimuAta hamjui flyover ni nini
sent from iPhone 7
yaani huyo jamaa kama yeye mbumbumbu anafikiri wenzake wote ni zero kama yeyejisemee mwenyewe usitulazimishe...
(boya)
wanatuzingua hawa ndiyo maana nimewaambia waweke tano tena za nairobi chaajabu inaletwa mi interchange......hafu wanaziita fly over....hata mapango mtaita flyover
bullshits...