Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona Wakenya Mlipo Humu JF saivi Ni Vilaza hivyo!!

Kaitaba Mpira Unachezwa Usiku na Kuna Nyasi Bandia
Amani Mpira Unachezwa Usiku na Kuna Nyasi Bandia
Hizo picha Umezitoa Wapi!!
 
Ile ya 3 berths of less than $400 mln?
Lamu port 3 berths bei yake ni hio $400 million. Sasa sijui unatoa wapi less than $400 million. Tembea kote kote mtandaoni utaona price tag ya Lamu port ni hio $400 million.
 
actually from 80, thru 90s.... u tanganyikans are copycats😾😾

View attachment 2187173
Hakuna mtanzania anaeifatilia Kenya kwa kiwango hicho, tena miaka hiyo ya 80s hata redio tu ilikua issue sasa nani angejua kilichokua kinaendelea huko kwenu kwa mapana hayo mpaka kutohoa maneno huko kwenye scandal?

Usiforce kitu kisichokuepo, ninyi ndio kucha kutwa kuhangaika kuongea kama Watanzania, wanamuziki wetu wana waassimilate kwa kasi ya ajabu, saivi ili uonekane mjanja Nairobi unatakiwa uwe na swags za kibongo 😅😅😅
 
Jero in tanganyika

Jerongo in kenyaland
 
Nimemwambia hizi ni fields na wengine wamekasirika[emoji23][emoji23][emoji23]. I don't even see the difference between these things and high school football pitches[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…