The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Hata ifike million utanunua tuu,hutaki uza Cha kwako Kwa bei ya chini au hamia bei ilikoshuka.Nauli lazima zipande hawa hili swala la mafuta wanalichukulia simpo sana na hapo bado bei ya vyakula haijaanza kupanda na itapanda tuu ni swala la mda
watakuzingua ila kwa story tu,Siku nataka nipande bajaji yenye watu watatu ninaowamudu [emoji23][emoji23] afu nianze kumsifia mama kuwa anaupiga mwingi nione watanionaje
hivi racing track imepachikwa tartan, na sitting terrace ime circumnavigate the whole stadium round.... hii nayo ni kali mzee...π₯π₯ this is a new one for me.! never knw such a facility in langata beforeAny club in Tanzania that own a stadium?
This stadium is owned by Ulinza Stars.View attachment 2186172View attachment 2186173View attachment 2186174
Mbona leo nimeiona hii Rubondo-Island pale TB3?
Kale kabalozi ka kunyaland cha UN kalitia aibu sana mwanzoni mwanzoni mwa vita ya ukraine,hapo mungiki wamechange gear angani baada ya kuona misimamo ya mataifa mengine ya kiafrica na asia,mungiki masnitch sana aisee!Kenya hawajitambui, walijistukia kuona nchi nyingi za Africa zimejitenga na msimamo wa Kenya
bado iko kwenye investment period unategemea faida au aviation business huijui ???π€£π€£π€£Hahaha kumbe hili dude lenu pia huwa linatengeneza hasara kila mwaka na sasa huwa mnatoa wapi ubavu wa kuicheka KQ?
Yah nimeona, nilikuwa sijafungua tweet.Hii zamani , 2019.
Mkumbushe kwamba lile deni limeshapunguzwa kwa asilimia 50% kwa kipindi kifupi tu cha miaka isiyozidi mitano ya operation since revival of the national carrier.bado iko kwenye investment period unategemea faida au aviation business huijui ???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekaa Tanzania kwa kitambo sasa, iko tu poa shirika yao inafanya vizuri especially kwa domestic flights inakuja kwa kasi sana.
hii najua hutaipenda πππππInstead of strategizing ..nyinyi mnataka kuongeza losses by buying more plane..Nani aliwaroga nyinyi..
View attachment 2186591
View attachment 2186588
ona hiii π€£π€£π€£ππππ nye nye nyeInstead of strategizing ..nyinyi mnataka kuongeza losses by buying more plane..Nani aliwaroga nyinyi..
View attachment 2186591
View attachment 2186588
Sisi tunaongelea kuhusu nyinyi..how can you buy more planes and yet you are making losses..Hakuna siku mushawai pata faida..why dont you lease then..ni wapi ulishawai sikia ndege zinanunuliwa cash...Nani kawaroga...ona hiii π€£π€£π€£ππππ nye nye nye
sisi tumepunguza hasara kutoka 60b to 36b within a year π€£π€£πππ unafkiri tunaeza kufanana hata kwa dakika moja au ww hujui Air tanzania bado iko kwenye investment period ??Sisi tunaongelea kuhusu nyinyi..how can you buy more planes and yet you are making losses..Hakuna siku mushawai pata faida..why dont you lease then..ni wapi ulishawai sikia ndege zinanunuliwa cash...Nani kawaroga...
Usisahau kwamba shirika limepunguza hasara kwa 50% for one year najua unaumia ila itabidi uzoee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sisi tunaongelea kuhusu nyinyi..how can you buy more planes and yet you are making losses..Hakuna siku mushawai pata faida..why dont you lease then..ni wapi ulishawai sikia ndege zinanunuliwa cash...Nani kawaroga...
ππππ kinachowauma nyinyi sisi kununua ndege mulitaka tukodi zenu chakavu?? kq ina miaka 50 inamiliki ndege tatu chakavu serious??Sisi tunaongelea kuhusu nyinyi..how can you buy more planes and yet you are making losses..Hakuna siku mushawai pata faida..why dont you lease then..ni wapi ulishawai sikia ndege zinanunuliwa cash...Nani kawaroga...
Hapo manaake mwakani shirika litaanza kujiendesha kwa faida, niliwaambia mm naona kwa macho yangu mawili jinsi ATCL inavyopiga biashara wakabisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sisi tumepunguza hasara kutoka 60b to 36b within a year [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116] unafkiri tunaeza kufanana hata kwa dakika moja au ww hujui Air tanzania bado iko kwenye investment period ??
View attachment 2186611
Si ati sitaipenda ..Tatizo unaponda wa kenya ilhali kwenu pia mambo si mazuri...only time will tell wacha tuone kama Mtaja pata faida..hii najua hutaipenda πππππ
View attachment 2186596