dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
naona hili jambo limekuuma sana.. BTW hii signage haipo kila mahali jinsi unavyo dhania, waandisi wa kenya sio wajinga, walienda skuli...Barabara ya 2 lanes kama hiyo hizo distances signs zinakua kwenye huu mfumo, msilazimishe to fake living kind of life outside your means, ulaya wannabes π π π
View attachment 2184541
Wacha uongo wewe. Kama Magufuli mwenyewe alikopa $1.5 billion kutoka standard chartered bank kwa sababu ya phase 1 na 2, phase 4 ndio mtashindwa kukopa?Phase zote 5 zina kandarasi next ssa ni kigoma gitenga burundi mpaka Γ§ongo hela imeshatoka tayari na pia a branch to rwanda kagame inabidi achangamke kdg
Muone uyu naye [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe huko Tanzania mnaita tuktuk vipanya?
Wazee wa kujenga viaduct ya upuusi mingi hapo Nairobi!Kwa pesa gani mliyonayo? Hii itabidi tu mkope sio?
Ila kwakweli hilo soko halikupaswa kujengwa tena kkoo, ilitakiwa likajengwe Mbagala au Pugu ili kupunguza msongamano pale kkoo.Yes pembeni yake lilipokuwa lile soko la chini.
Nyie mbona msikope? U r smarter than this! Nyie endeleeni kujenga vitu kama Nairobi Express kwa mikopo sie tuko busy kufikisha SGR DRC Congo, Burundi, Rwanda na Uganda! Huoni soo kule kichapo cha EACOP huku cha SGR? π€£π€£π€£Wacha uongo wewe. Kama Magufuli mwenyewe alikopa $1.5 billion kutoka standard chartered bank kwa sababu ya phase 1 na 2, phase 4 ndio mtashindwa kukopa?
Tanzania secures US $1.5bn loan for 550km of its SGR project
Tanzania has signed a US $1.5bn 20-year loan agreement with Standard Chartered Bank Tanzania to fund the construction of a 550km stretch of (SGR) standard gauge railway between the commercial capital and port of Dar es Salaam and Matukupora, in the centre of the country.
Tanzania secures US $1.5bn loan for 550km of its SGR project
Tanzania has signed a US $1.5bn 20-year loan agreement with Standard Chartered Bank Tanzania to fund the construction of a 550km stretch of (SGR)constructionreviewonline.com
Wacha uongo wewe. Kama Magufuli mwenyewe alikopa $1.5 billion kutoka standard chartered bank kwa sababu ya phase 1 na 2, phase 4 ndio mtashindwa kukopa?
Tanzania secures US $1.5bn loan for 550km of its SGR project
Tanzania has signed a US $1.5bn 20-year loan agreement with Standard Chartered Bank Tanzania to fund the construction of a 550km stretch of (SGR) standard gauge railway between the commercial capital and port of Dar es Salaam and Matukupora, in the centre of the country.
Tanzania secures US $1.5bn loan for 550km of its SGR project
Tanzania has signed a US $1.5bn 20-year loan agreement with Standard Chartered Bank Tanzania to fund the construction of a 550km stretch of (SGR)constructionreviewonline.com
Japo content inabidi waboreshe . Maana wanarudia rudia sana vipindi. Wakati kuna vitu vingi vya kuonyesha. Lakini inavutiahii channel hunifanya nimkumbuke sana hayati magufuli [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2184090View attachment 2184092
View attachment 2184087
Kwani ile aliyozindua mara ya mwisho tabora ni phase ipi?Bado Isaka to makutupora tho wamesema soon watatoa tender
Pia phase 2 itaanza tabora to kigoma via uvinza
Walianza na kutaka kuoneshwa 1 cm ya sgr sasa hivi imekuwa habari ya mikopo tena!Kutoka kuuliza 1 km, hadi 100 km, hadi kwa umeme upi, hadi kwa treni gan, etc.. saiz bila aibu tena kwa chuki kubwa mnahoji kwa pesa zipi?[emoji23].. hata kama ni kwa mkopo.. na nyie jaribu kukopa muone kama mtapewa hio mikopo..
Huna tofauti unamwambia mtu anaringa kisa anaendesha gari ya baba'ke.. na wew si muombe baba yako ilo gari lake uiringie ..it is either hana au huwezi kupewa[emoji16]
Hapo nyuma walikuwa na mpango wa kuhamishia Kinyerezi na eneo wanalo sasa sijui imekuwaje tena.Ila kwakweli hilo soko halikupaswa kujengwa tena kkoo, ilitakiwa likajengwe Mbagala au Pugu ili kupunguza msongamano pale kkoo.
Hiyo kipovu a.k.a kidekio itakua na hali mbaya ndio maana wanaiba pichahvi naomba niulize swali kwann hua munapenda kuiba picha za watu kunakua na haja gani ???[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hvi wewe unaona kipevu inaeza fanana hvo??
kipevu siku hzi iko singapore ???View attachment 2184424
Hiyo hela hadi najiuliza kwani bajeti ya nchi yao imekua shilingi ngapi? Sifa za kijingaUS $40 bin unaota au? LAPSSET $25 bln mmeshindwa ku-raise hata $400mln! KunyaLand hiihii?
Kigoma piaHata Tanzania bado za Tanga, Mtwara, Mwanza, Mbeya etc