Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Faida ya kuwa miongoni mwa ligi Bora za Africa..

Marais wa shirikisho la CAF watakuja Tanzania kufanya vikao vya mkutano mkuu.

Utalii wetu utazidi kupaa na uwekezaji pia.Safi Sana TFF.

Kenya chukieni tuu , Tanzania tumewapiga gap Sana πŸ‘‡



 
Mkuu na wewe unasuport chuki za Kikabila ? , kwani hamuwezi kumalizana na gwajiboy as individual bila kujumuisha makabila ya watu ?
Mkuu sijataja kabila la mtu, au Kuna sehemu nimetaja kabila katika post zangu?
 

MY TAKE
Wahenga walisema kutangulia si kufika japokuwa Wakunya walianza ujenzi wa SGR ilipofika phase II ikagota! Saahii electric SGR Tanzania ipo phase ya nne (the longest in the whole of Africa) na phase mbili zaidi zinatarajiwa mwaka huu!

CC: Tony254 na Wakunya wote wengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…