Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakunya kwa kupenda mteremko, hawajui wanajenga taswira ya utokuaminika duniani
View attachment 2182909
Hivi kuna asie na Google saivi? Watu wapumbavu sana wanafikiri wakisema hivyo ndio watapanda ndege kesho kuelekea Kenya, 😅😅😅 kumbe hawajui utamaduni wa wazungu wanafanya mpaka hotel reservations wakiwa hawajaanza safari, na hawawezi kufanya reservation bila kujua gharama za safari na eneo inapopatikana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…