Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni opinion yangu binafsi, sio opinion ya Kenya. Mimi kama Tony siungi mkono unyama ambayo Russia inafanya huko Ukraine.
Msimamo wa Kenya ni upi kwa Sasa baada ya Kenya kutounga mkono kuiadhibu Russia?
 
Point ni bandari ya Dar vs Mombasa kushusha gari nyingi au TZ vs Kenya kununua gari nyingi?[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Of the vehicles on board 1105 are set to remain in Tanzania whereas 2,936 are on Transit to other neighboring countries such as DRC, Uganda, Zambia, Zimbabwe, Malawi and South Sudan.

Masoko yenu yote tunayo

Tony254 mzigo wa mganda tunagawana
 
Kwanza, hio ship imebeba 4000 cars haimaanishi zote ziko destined Dar 😅

plus really, Kenya still imoports more than double the number of cars imported in TZ per annum 🤣🤣
You're absolutely correct 😂. Only 1105 of those cars are destined for Tanzania 😂😂😂
 
Turudi studio 😅😅😅

View attachment 2181289
Kauli ya mwanasiasa, eti for every 4 Tanzanian 1 has a vehicle., yaani Dar imeshinda ata New York kwa kumiliki gari, ujinga ni laana sio ugonjwa wala kukosa masomo🤣🤣😂😂🤣🤣🤣😅
Wacha tuone report ya deloite.., this is one of the independent firm, wanafanya audit and assurance, consulting, financial advisory, risk advisory, tax, and related services, na pia wanafanya research independently, very objective, kama zile zenye mwendazake alikua anaziogopa zitaumbua propaganda zake😂😂😂

Kenya ndio iko na magari mengi sana in East Africa, hii hapa ni one of the findings., na kuna other bodies pia zitakuonyesha same information, na pia ukiangalia fuel consumption ukilinganisha pia ni kigezo mwafaka..,



For full report click the link
👇👇
 
Of the vehicles on board 1105 are set to remain in Tanzania whereas 2,936 are on Transit to other neighboring countries such as DRC, Uganda, Zambia, Zimbabwe, Malawi and South Sudan.

Masoko yenu yote tunayo

Tony254 mzigo wa mganda tunagawana
Kwani kuna siku mmekosa kupata mizigo ya hizo nchi? last I checked imekua hivyo tokea zamani, ila sio kwa kiwango kikubwa.., ama unadhani ndio mara ya kwanza?.., ebu chunguza ujue ni magari mangapi yanaenda Uganda na South Sudan..., numbers..,
 
Mic drop
 
Wakati gari za Dar 2012 hawana mpaka 2030! 😅😅😅
Yaani ata wakazi wa Johannesburg hawana magari kuliko wa Dar eti🤣🤣😂😂, Magufuli ubarikiwe kwa propaganda🤣😂🤣🤣🤣🤣😂😂😅 hizi taarifa ziko tu Tanzania, tena kinywani cha mwanasiasa sio TRA or Tanzanian Bureau of Statistics😂😂😂🤣
 
Yaani in 2016 only 7 Tanzanians walimiliki gari kati ya watu 1000, na Kenya ilikua 40 per 1000!.., alafu Magufuli anawadanganya eti wakazi wa Dar 1 in every 4 has a vehicle.., wata park wapi? angalia hizo residential uchwara zimebanana sako kwa bako, jamaa aliona foleni na mikusanyiko ya magari akaropokwa kisiasa na kishabiki tu, no supporting evidence🤣🤣🤣🤣😂😂
 
Point ni bandari ya Dar vs Mombasa kushusha gari nyingi au TZ vs Kenya kununua gari nyingi?[emoji1][emoji1][emoji1]
Ume chemsha tayari, uzembe ni mbaya mzee, fanya utafiti kwanza, hii kukurupuka yenu ni balaa🤣🤣🤣😂😂😂😂
 
Anaeingiza gari Tanzania ni Mzungu au TRA? 😂😂😂😂
 
Waziri wa miundombinu ndio waziri wa bandari inayoingiza magari 😂😂😂😂

Ukweli mchungu lakini unaponya mbona sisi tunaamini your national transport and service authority inayokiri 2030 ndio mtafika idadi ya 2012 ya gari za Dar? 😁😁😁

 
Aisee nimekupata kumbe tunaweza kujikuta tumeshanunuliwa hivi hivi na watu wengine wenye pesa. Ahsante sana mkuu nimekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…