tuwaite tu ma cartoonAlafu unakuta mtu anakwambia makampuni yao 600 yaliyo invest $1b yame control economy, mtu kama huyu ukimuita cartoon analia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nimemsikia anasema tanzania inajenga 200km a year yani nimecheka sana 🤣🤣 hichi ni kipande kidogo cha barabara umekamilikaNaona unamcheka cartoon bwana mapesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani Tanzania ilijenga kilometre 251 pekee ya barabara kwa kiwango cha lami kwa mwaka mmoja? Hizo ni kilometre chache sana.Kongole,pace ya Tzn ni ndogo Sana,mwaka huu unaomalizia Serikali imelipa madeni zaidi huku ikijenga kiduchu Sana
View attachment 2179672
Umesahau Russia wamepigwa hadi wakatoroka Kiev na Chernihiv?
Wewe English ndio hujui, nimekuambia madini ya Vito hayachimbwi na asie mtanzania unless aingie ubia na mtanzania na mtanzania amiliki shares kubwa kwenye company, article says that all, nimekuambia Reginald Mengi ni mmiliki wa company kubwa ya madini ya Tanzanite, article says it allSijui ni kutoelewa kiingereza mnakuwanga nayo ama ni cherry picking.
From the same article.
View attachment 2179570View attachment 2179571
Unachobisha ni kipi sasa? Wewe unafikiri Magufuli alivyojenga ukuta Mirerani alikua anamaana gani? Huingii ndani ya ukuta kama huna kitambulisho cha utaifa sababu waliomo ndani ya eneo la uchimbaji ni Watanzania, wageni wanakuja kununua tuSijui ni kutoelewa kiingereza mnakuwanga nayo ama ni cherry picking.
From the same article.
View attachment 2179570View attachment 2179571
Really?Tenwek Hospital
63% ya wakunya ni mafukara wa kutupwa 😂😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2179783
Over work on his poverty kingdom to submerge everyone deeper 🤣🤣🤣🤣🤣''Uhuru is overworking'' [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe taahira kweli, barabara gani kilometers 3k inajengwa kwa mwaka mmoja? Barabara kilomita 50 tu huwezi kujenga kwa mwaka ndio zitakua kilometers 3000?As Kenya is building 3000km of paved roads in a single year, Tanzania is also happy to build 200km[emoji23][emoji23]View attachment 2179799
Ukiacha Uganda na Tanzania, ni nchi gani zingine hasa za jirani zenye chakula cha ziada zinazoweza kuwauzia kwa haraka na Bei nafuu?, Hamuwezi kutegemea chakula toka Brazili kwa maisha yenu yote, huko ni kwa ajili ya dharura tu.Kwa hivyo Uganda na Tanzania mkiwacha kutuuzia chakula basi nchi zingine zinazozalisha chakula pia zitakataa kutuuzia chakula? Kwa hivyo Uganda na Tanzania zina uwezo wa kukataza nchi zingine kutuuzia chakula?
Kenya ilipata shida Sana tulipofungiana borders 1977, bahati kwenu kipindi kile bado kulikua na "cold war", ninyi mlikua mnapata support kubwa toka "western countries", pia uchumi wa Kenya ulikuja hautegemei Sana nchi za Uganda na Tanzania.Umesahau Kenya iliishi vizuri tu bila EAC kuanzia mwaka wa 1977 hadi 2001? Ama umesahau hilo? Halafu trade kati ya Kenya na nchi jirani itaendelea tu. Usifikiri kwamba Kenya iliwacha kutrade na Uganda au Tanzania eti kwa sababu EAC ilivunjika. EAC ina advantage moja tu, kwamba inapunguza tariff na trade barriers. Bila EAC trade itaendelea ila kutakuwa na trade barriers na tozo za aina nyingi kwa hivyo trade itakuwa expensive na itapungua lakini haitakwisha. Tutaendelea kununua mizigo na kuuziana mizigo.
Hii kitu muda sio mrefu kutoka Sasa italipuka Kenya yote, wakenya wanateseka Sana, wamefikia "point of not return"nyie [emoji23][emoji23]
Ndio ukweli wenyewe huo.Pesa yote ilienda kulipa madeni ya contractors,juzi Kati mbunge aliuliza swali Bungeni Kuhusu hii issue kwamba Serikali iache kudanganya iseme ukweli tuu kwamba mwaka huu imelipa madeni ya contractors.Yaani Tanzania ilijenga kilometre 251 pekee ya barabara kwa kiwango cha lami kwa mwaka mmoja? Hizo ni kilometre chache sana.
Kwasababu mumeanza kupata akili, baada ya Tanzania kuamua kutopiga kura, Kenya ilijihisi vibaya Sana kwa kutokuwasiliana na Tanzania, ukweli kabisa, viongozi na wananchi wengi wa Kenya wanaiangalia Tanzania Kama kioo katika mahusiano na diplomasia ya kimataifaHapa sijaelewa ni kwa nini Kenya ime-abstain.