Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya ni waoga sana, na Tunapofungua soko kwao huwa tunawanyoosha kisawa sawa kibiashara

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
huna lolote njaa tupu,

kwa wadosi huwa hakuna mbwembwe,ulivyokuwa mshamba eti unanitunishia misuli kuhusu bili ya bando unayotumia,

we sijui wa wawapi ,mbona umepitwa na wakati kiasi hicho

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Naona unaharisha usaha.

Mimi wa Makete,kwani huko makete tunapitwa na wakati kiasi gani?

Ndio hivyo hivyo yaani,narudia jobless hawezi kushida mtandaoni atapata wapi pesa ya bill ya bando?
 
Naona kile kipande korofi cha SGR phase 1 kutoka Pugu hadi Mjini kinafanyiwa kazi zile overpasses tatu, njia panda ya majumba sita, airport na vingunguti inaonekana watu wameshalipwa fidia maana baadhi yao wameanza kuvunja nyumba zao!Kuna vitu vinakuja, I will keep posting!.
 
Justinr Pitia hapa kuhusu flyover mbili mbezi
 

Ni wazee wa mitumba. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha umejaribu. Lakini kuna haya mapungufu katika reasoning yako rafiki. Accounting ambayo wengi wenu huwa mnaidharau nakuiona rahisi sio rahisi hata kidogo.

1. Vodacom SA inamiliki hisa kiasi gani ndani ya Safaricom Ethiopia?

Kwanza Vodacom bado haijanunua hio 10% shareholding kutoka kwa UK's CDC group ila wanapanga kununua in future. Kwa hivyo kwa sasa Vodacom ina 6.2% shares in Safaricom Ethiopia (direct ownership) sio 17%. Halafu tuongeze hio 35% ×56% = 19.6%. Total inakuwa 19.6+6.2=25.8%. Kwa hivyo Vodacom SA inamiliki 25.8% ya Safaricom Ethiopia.

Pili, Vodafone UK na Vodacom SA ni kampuni mbili tofauti na hatuwezi kuzigroup kama kampuni moja. Halafu ninaweka link hapa chini inayoonyesha kwamba Vodafone UK inamiliki 60% ya shares ya Vodacom SA.

2. Vodafone UK inamiliki hisa kiasi gani ndani ya Safaricom Kenya?

Sasa tucalculate shareholding ya Vodafone UK katika Safaricom Kenya kwanza kisha Safaricom Ethiopia.
Vodafone UK inamiliki 60% ya Vodacom SA. Vodacom SA inamiliki 35% ya Safaricom Kenya. Vodafone UK inamiliki 5% ya Safaricom Kenya (direct ownership). Kwa hivyo kwa ujumla Vodafone UK inamiliki hio 5% (direct ownership) + na indirect ownership through vodacom (35%×60% =21%). Sasa kwa ujumla Vodafone UK inamiliki 21% +5%=26% ya Safaricom Kenya.

3. Vodafone UK inamiliki hisa kiasi gani ndani ya Safaricom Ethiopia?

Mwisho kabisa tucalculate Vodafone UK inamiliki shares kiasi gani ya Safaricom Ethiopia. Kwanza Vodafone UK haina direct ownership ya Safaricom Ethiopia. Kwa hivyo indirect ownership yake ni hio 26% ownership ya Safaricom ×56%. Yaani 26%×56%=14.56%. Na 60% ya 6.2% =3.72% (indirect ownership through vodacom). Kwa hivyo Vodafone UK inamiliki 14.56% +3.72% =18.28%shares za Safaricom Ethiopia.

Kwa hivyo Vodacom SA inamiliki 25.8% ya shares ya Safaricom Ethiopia huku Vodafone UK ikimiliki 18.28% ya shares ya Safaricom Ethiopia. Serikali ya Kenya inamiliki 35%×56%= 19.6% ya shares ya Safaricom Ethiopia. Hizi hesabu unaweza kuzipeleka kwa accountant yeyote aliyefuzu umuulize kama ziko sawa, atakupa jibu. Hata unaweza kuzipost online uulize kama hizo hesabu ziko sawa au kama ni utopolo nimeandika. Hiki ni chakula changu cha kila siku.

Cc joto la jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…