kwa hiyi ilishuka kwetu tuPato la taifa lilishuka mkuu kwanza mi naona muhimu sio hizo mambo muhimu ni quality ya maisha ya wananchi.Kuna nchi zina GDP ndogo kuliko sisi lakini zinauwezo wa kuipa msaada nchi yetu kutokana Percapita income kuwa kubwa.Imagine Nigeria yenye GDP ya 400+ plus lakini haina uwezo wa kutoa msaada hata kwa burundi au Sierra Leone kwa kua serikali haina huo uwezo labda ikaombe kwa matajiri.Anyway pato la taifa lilipungua kwa kutizama per capital ya 1050 sijui inategemea GDP basi ni uwazi unaweza kupanda na kushuka
Kweli nyinyi wote ni wajinga, ama unareply tu for the sake of replying? Please show the 3M tonnes that baboon is talking about.[emoji116][emoji116]
Yani hiyo nchi yenu mali yote mikononi mwa Waarabu na Wahindi.🚮🚮ni mtanzania. nimekuambia ukweli/fact lkn bila shaka utachukia[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wazungu walipoona jamaa anaenez ukweli na ukatili ukraine wameamua kumfungia [emoji1787][emoji1787]
View attachment 2177207
Kama sio mwarabu basi ni mhindi, na kama sio mhindi ni mkenya, na kama sio mkenya basi ni mzungu [emoji23][emoji23][emoji23]Yani hiyo nchi yenu mali yote mikononi mwa Waarabu na Wahindi.[emoji706][emoji706]
😂😂 Unafurahisha.. okay tell us, how.?But we control your economy [emoji23][emoji1787]
Uko serious au unachangamsha genge tu... maana skuelewi unaposema ikulu ina kazi gani?What benefit does it have to the common mwananchi?
hawatufai tena hawaalfu jamen, anaejenga brt 2 ya kutoka mjin sijui kkoo kwenda mbagala asipewe tena tenda ya barabara nchini.. leo nimepita brt yote inayojengwa mf kule ilala boma, pale jengo la mpango ambapo kuna flyover .. kiukwel kazi wamechelewa afu kazi ni ovyo ovyo..
Chizi huyo achana naye.Ikulu haina kazi????
Heb taja hiyo mali ya mkenya hapa bongo nichekeKama sio mwarabu basi ni mhindi, na kama sio mhindi ni mkenya, na kama sio mkenya basi ni mzungu [emoji23][emoji23][emoji23]
hakuna kitu mzee usijisumbueKweli nyinyi wote ni wajinga, ama unareply tu for the sake of replying? Please show the 3M tonnes that baboon is talking about.[emoji116][emoji116]
View attachment 2177210
What benefit does it offer to the common mwananchi? That's a question that everybody wants you answer [emoji23][emoji23]Uko serious au unachangamsha genge tu... maana skuelewi unaposema ikulu ina kazi gani?
Hii utakubali lini we chizi.? Mpo nyuma yetu likija suala la Afya.. hata uluie, huwezi badilisha huo ukweli manzeeI'm waiting for you to list three then I mention for the million tanzanians running to Kenya for treatment.
Tell that to your health minister[emoji23][emoji23][emoji116]Hii utakubali lini we chizi.? Mpo nyuma yetu likija suala la Afya.. hata uluie, huwezi badilisha huo ukweli manzee
Keep quiet when your boss is talking [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]Heb taja hiyo mali ya mkenya hapa bongo nicheke
heb toa angalau skyline ka hii ya jiji lenu la tano(nadhan dodoma, mbeya ama iringa) tuone atleast ka tuko levels..Tz ndiyo the most urbanized country in the region utake usitake, weka hapa miji yako 10 iliyoendelea na mm niweke 10 alafu tuone kama utatoboa.
Kazi Gani? Eti makazi ya rais ilhali Afrika watoto wa Marais wanaishi Marekani ama Ulaya - Rais wenyewe wana majumba yao wanayoishi. Alafu majumba yenyewe makubwa hayatumiki. Hapa Kenya Kuna state house Mombasa, Nairobi, Nakuru na state lodges, Kisumu, Kakamega, Sagana, Eldoret, Rumuruti, Kisii na Chereng'any. Marais humaliza term zao kama hawajakanyaga most of hizo residences. Hapa Kenya hakuna Rais ambaye aliishi state house. The main use of state house ni kukaribisha na kuhost foreign visiting heads of state. Kama Samia alipokuja Kenya, aliamkuliwa State House ya Nairobi. Yet hizi state houses na lodges zote zinatumia pesa nyingi kumaintain. This is the same thing in Tanzania and other countries. Kuna haja gani ya kujenga state house nyingine na zile ambazi zipo hazina kazi?Ikulu haina kazi????
Tanzania is our toy, we play with it whenever we want.[emoji23][emoji23]Heb taja hiyo mali ya mkenya hapa bongo nicheke
😂😂😂 Unanifurahisha