Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

.
wewe pumpum ona...... hivi kwa hiyo nchi yote kubwa ya tz 970,000km²..... (No. 5 in africa). ni hili sehemu la posta pekee (1.5×1.5km) pekee.! ilio develop, kwingine kote ni tuu

View attachment 2176816
Tz ndiyo the most urbanized country in the region utake usitake, weka hapa miji yako 10 iliyoendelea na mm niweke 10 alafu tuone kama utatoboa.
 
acheni ujinga nyie mazombi ya uhunye ....knasiku atawauza kwa ubishi na ujinga wenu

em wasaidie wenzio kujibu uhunye ameidhinisha 35ktsh za nini na mnayo mafuta ?
naona yamefka cheki wenzio wanavoshangilia😂😂😂😂😂😂😂
 
zile ndoto za kufka upper middle income ka zmeanza kufifia iviii
anataka nidhamu ya moyoni awezi kufoka kwel wauni sio watu
 
Nyie bado sn kwenye hii sector, wenzenu kwa ss madaktari wetu bingwa wanawasiliana na wenzao wa India jinsi ya kufanya huduma ambazo hazipatikani kwenye shit hole countries.
Go and ask Magufuli why he came to seek treatment in Kenya, ukikosa jibu Tundu Lissu popote alipo na ukikosa hapo pia tafuta Rose Muhando and many more profs[emoji1787][emoji23]
 
Nyie bado sn kwenye hii sector, wenzenu kwa ss madaktari wetu bingwa wanawasiliana na wenzao wa India jinsi ya kufanya huduma ambazo hazipatikani kwenye shit hole countries.
Tell that to your minister of health who accepted that Kenya has better facilities than Tz and she was begging GOK to let Tanzanians come for treatment in Kenya[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]



 
Go and ask Magufuli why he came to seek treatment in Kenya, ukikosa jibu Tundu Lissu popote alipo na ukikosa hapo pia tafuta Rose Muhando and many more profs[emoji1787][emoji23]
Magufuli hajawahi kuja Kenya kutafuta matibabu. Mzena hospital iko Kenya siku hizi? Mlidanganywa na nani wazee?
 
Tanzania’s Minister for Health, Community Development, Elderly and Children Dr Dorothy Gwajima has urged Kenya to consider exploring medical tourism especially in the area of cancer treatment.

Dr Gwajima further noted that with the facilities the country had in the area of cancer, there was no need for citizens within the East Africa region to seek medical attention in other foreign countries.

At the same time, Dr Gwajima said there was need for closer collaboration between her country and Kenya in the area of Health so as to ease the burden on their citizens.

Dr Gwajima made the remarks on Thursday when she toured Kenyatta University Teaching, Research and Referral Hospital. She was accompanied by her Permanent Secretary Professor Abel Makubi, the Chief Administrative Secretary in the Ministry of Health Dr Mercy Mwangang’i, KUTRRH Chairperson Professor Olive Mugenda, CEO Dr Victor Njom among others.

The Tanzanian Health Minister was taken on a tour of the Oncology department that houses the cancer centre including the presidential suites among other facilities.

Gwajima who was in the country for one day official visit had earlier held bilateral talks with her Kenyan counterpart Senator Mutahi Kagwe at his Afya House office. Also present was health Principal Secretary Ms. Susan Mochache.

During her guided tour of the hospital, Dr Gwajima noted that with closer working ties between the two countries, there will be no need to seek medical treatment abroad.

“For instance, when our people are sick, they should comfortably come to Kenya and have their medical doctors fly here because the facilities are there instead of wasting so much money abroad which can benefit our two countries,” she added.

Dr Gwajima observed that the two East African neighbours have the potential and capacity to eliminate diseases that have bedevilled the region for years through closer collaboration.

“All of us want to leave a legacy when we are gone. It is the onus of each one of us to make sure we strive to deliver our best so that when we are gone history will judge us favourably as having left a mark to be emulated,” she added.
 
Magufuli hajawahi kuja Kenya kutafuta matibabu. Mzena hospital iko Kenya siku hizi? Mlidanganywa na nani wazee?
That's the Truth that you always hate to hear. Magufuli came to Kenya for treatment.
 
Samia wenzake wana muexploit sana, hajui anachokiengea wala hayuko makini na impact yake, Samia alishindwa kabisa kushtuka tangu lini nchi imetoka hadhi iliyokuwa na uchumi ulikuwa kwa negative growth au , ameshindwa kufungua tovuti ya Worldbank na kuangalia hii taarifa kama ni ya kweli au laah, mwaka jana November ni chini ya miezi 7 alisema yeye mwenyewe nchi iko uchumi wa kati, anashindwa kuelewa kuwa mwaka 2025 tutamwabia mwaka 2021 November tulikuwa na haueni kama tumeshuka basi ni chini yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…