Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo huwa anaumizwa sn na maendeleo ya Tz, huyo ni miongoni mwa wakunya waliokuwa wanakesha wikipedia kuichafua Tanzania ila kwa sasa wabongo nao wameanza kuichafua Kenya ktk kila angle na ndiyo maana wanaumia. Wana roho mbaya sana hawa mbwa.
Halafu hawachafuliwi kwa mambo ya kusingiziwa ni kwamba wabongo wameamua kuyaanika hadharani maovu yao.
 
Kenya kila kitu lazima wataje wazungu, kwao wazungu ni zaidi ya Mungu
na wao ndo walifanya kenya kua dominant na ikalie nchi zote za eastern africa hadi waleo.. inasemekana nairobi modernity ilikua ina grow pamoja na london at the wake of the 20th century. ndo maana ata mw. j.nyerere kaitaja nairobi kama 'london' kwa wakati moja
 
unaniletea mambo ya future plan budaa 🀣
Hivi nani kakuuzia bangi ya Gabon? Inakuharibu ubongo sana. Hii mission ilifanyika last year November tena niliitazama live kwenye youtube.
 
source 'citizen newspaper' tanzania........ una expect nini.!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…