nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,127
- 1,839
achana na huyo mvivu wa kutafuta taarifa.Ukijibu mjadala uwe na kumbukumbu za historia Frelimo walikuwa stationed in Tz na kuwa sponsored na tz wapiganaji wa Frelimo walikuwa trained na kuweka kambi Tanzania pia Tanzania ilitoa military hardware katika support ya vita pamoja na intelligence. Hence enough reason kwa Portugal kulaani Tanzania in collaboration with Boers who used Malawi and Mozambique to perpetrate their clandestine operations against Tanzania.
Fact.Kenya leads Tanzania only on
1)Tribalism
2) Corruption
3)Hunger and starvation
4) Crime and terrorism
5) Political instability
6) Nepotism
7)Police killings and brutality
8)Ugly ladies
I can ask the samething....
Hebu tulinganishe [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Viongozi wa awamu hii ni kama wana minyoo kwenye ubongo. 28-feb waliondoa tozo ya tzs 100 kwenye wese, 30-mar wameirudishaKweli hili taahira
"unakagua gari umetengeneza wewe..."
Sasa madawa na bidhaa nyingine kutoka nje TBS huwa inazikagua ili iweje sababu hazitengenezwi Tanzania!
Yaani hili ni janga kubwa zaidi ya tunavyodhani, tupo hapa Muumba atupe uhai ila mkataba wa gas ni kihama
Magufuli alitaka kujua kinaganaga kwanini plant iwe billion 30$
Investor akisema anainvest billion 30$ kwenye rasilimali yako sio jambo la kufurahia sababu hiyo pesa atatakiwa airudishe yote kwanza then ndio faida ifate, wawekezaji wana over estimate na kufluctuate gharama za uwekezaji ili wakupige kwenye return of investment capital
Atawekeza billion 1 akuambie billion 10 ili wakati anakusanya zaidi ajitetee kwamba narudisha mtaji wangu wa uwekezaji
Cha kushangaza saivi tu naambiwa sio billion 30$ tena bali zitakua billion 40$ upigaji uliotukuka japo watu wanashangilia pasi kujua ni kifo cha gas yetu hiki
Unaweza kuwa na silaha kubwa nzuri na za kisasa, jeshi kubwa lakini kama intelijensia yako ni hafifu na dhaifu utapigwa tu, na hizo silaha zako ndizo zitatumika kukupiga.Wacha kujidanganya. Wareno hawakuwa na lengo la kupiga Tanzania na hio ndio maana hawakutuma jeshi lao kuja kuvamia Tanzania. Wareno walichotaka ni kupigana na Frelimo pindi tu wanapovuka border na kuingia Mozambique kutoka TZ. Nakuhakikishia kwamba kama Wareno wangedeclare war against Tanzania mngeumia sana nyinyi. Ukumbuke wakati huo in the 1960s jeshi la Kenya,Tanzania na Uganda zilikuwa hovyo. Hazikuwa na equipments za kutosha kwa mfano ndege za kivita au meli za kivita au vifaru. Hawa wazungu walikuwa
wanamiliki hivi vifaa vyote. Baada ya kujipatia uhuru jeshi zetu zilikuwa hovyo kabisa. Huo ndio ukweli. Nyie mna bahati Wareno hawakudeclare vita dhidi ya Tanzania kwa maana mngepigwa muwe vumbi.
Hii Mogadishu kabisa 😅😅😅😅Hii picha huwa inanchekesha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2170184
hawajui histor yeyote hao usipate tabu kumuelekeza konokono aongeze speedUkijibu mjadala uwe na kumbukumbu za historia Frelimo walikuwa stationed in Tz na kuwa sponsored na tz wapiganaji wa Frelimo walikuwa trained na kuweka kambi Tanzania pia Tanzania ilitoa military hardware katika support ya vita pamoja na intelligence. Hence enough reason kwa Portugal kulaani Tanzania in collaboration with Boers who used Malawi and Mozambique to perpetrate their clandestine operations against Tanzania.
Wapi Tanzania? Obviously it is lazing behind Kenya.new FIFA ranking, brazil [emoji1054] wamerudi kwenye ufalme wao
View attachment 2170247
10%. But Tanzanians are using 1%[emoji23][emoji23]What percentage of human brain needs to be used for reasoning?[emoji23][emoji23][emoji23]
Which modern roads are you talking about? Tanzania is not even among the top ten countries with quality roads in Africa.Most of our modern roads use solar including those within the city. It is now mandatory for all new roads to have street lights
aliekudanganya nani ??🤣🤣🤣 nioneshe ikipeleka astronauts
Nyinyi hamjawahi kupigana na wazungu kama sisi tulivyofanya. Mlipewa uhuru wenu bure bila kumwaga damu.Ukijibu mjadala uwe na kumbukumbu za historia Frelimo walikuwa stationed in Tz na kuwa sponsored na tz wapiganaji wa Frelimo walikuwa trained na kuweka kambi Tanzania pia Tanzania ilitoa military hardware katika support ya vita pamoja na intelligence. Hence enough reason kwa Portugal kulaani Tanzania in collaboration with Boers who used Malawi and Mozambique to perpetrate their clandestine operations against Tanzania.
Mtajiconsole tu kwenye vidata na vijarida uchwara lakini kwa ground kunyaland ni takatakaDon't you ever get tired of lying? Hakuna siku Tanzania itawaishinda Kenya in terms of health.
22% of Kenyans have medical coverage but only 16% of Tanzanians are covered.
View attachment 2170020View attachment 2170021
Na anazidi kukimbiza kwa rekodi mpya kila uchao.Samia ndiye rais 2025-2030