Okay umejibu swali langu. Mradi huu ni mzuri kwa maana hata defect likipatikana gari halirudishwi Japan bali linapelekwa garage hapo hapo Tanzania. Kwa nini mradi huu umesitishwa?soma hii afu nipe feedback or any comment..
hata kama hauna, pls give me any feedback hata kusema “thanks for sharing”.
View attachment 2169282
Hata mimi nashangaa gari kama ikiwa mbovu huko italetwa tuu hapa halafu ukaguzi ukifanyika hapa nyumbani inakutwa mbovu na inaenda kuwa destroyed aliyeagiza anapata hasara serikali inapata hasara maana import bill inakuwa kubwa unnecessarily kwa kupurchase obsolete products plus cost ya kudispose hilo gari. Hence pre destination inspection inapaswa ifanyike kwenye country of origin lakini serikali isimamie hayo mapato vizuri.sasa unakaguaje gari at destination na si source in a shipping industry?
dar CBD tena part inapambana na westland+upperhill+CBD conbined 🤣🤣
hebu... eti unasema 'kurudi LDC' kwani tangia lini tanganyika ika graduate from ldcHii nchi kama huyu mama ataendelea kuwepo ofisini 2025 basi nitaamini ni nchi ya giza kabisa inayofaa kurudi LDC.
waongoja nn jameni... si ufichue dar tuione yote basidar CBD tena part inapambana na westland+upperhill+CBD conbined 🤣🤣
View attachment 2169323
dar huwez ipata yote kwasababu hakuna misitu kama kwenu mji umejikusanya sehemu mojawaongoja nn jameni... si ufichue dar yote tuione basi
Huna akili.hebu... eti unasema 'kurudi LDC' kwani tangia lini tanganyika ika graduate from ldc
Okay umejibu swali langu. Mradi huu ni mzuri kwa maana hata defect likipatikana gari halirudishwi Japan bali linapelekwa garage hapo hapo Tanzania. Kwa nini mradi huu umesitishwa?
Me nawaambia huyu angekua kipindi cha uviko ndio inaingia tungeshuhudia mengi, anyway siasa za bongo nilishaachana nazo sababu ni full stress!Hii nchi kama huyu mama ataendelea kuwepo ofisini 2025 basi nitaamini ni nchi ya giza kabisa inayofaa kurudi LDC.
Japo huwa sipendi kucomment kwenye siasa lakini inabidi tukubali tuu kila zama na kitabu chake hatuwezi kufikiria sawa wote hapo nyuma kulikuwa na #hapa kazi tuu watu wakafurahia na wengine wakanuna sasa ni zamu ya #mama anaupiga mwingi wale waliokuwa wamenuna wanafurahia na wale waliokuwa wamefurahia kwenye #hapa kazi tuu ni zamu yao kununa huo ndio ukweli and that's life. Ukiangalia a typical graph haiwezi kuwa smooth hata siku moja has ups and down huo ndio ukweli hata kwenye maisha ni hivyo hivyo.ni zaidi ya kituko mkuu
sikuhiz ile hashtag #MamaAnaupigaMwingi naona watu wameifanya kuwa ni kejeli[emoji23]
Nilikuwa nauliza maswali ikiwemo "defect ikipatikana gari litarudishwa ilikotoka?" Sasa hio article yako imejibu maswali yangu. Halafu wewe ndio akili punguani. Uliniambia nikupe feedback kumbe ilikuwa ni uchizi tu.wew jamaa vip? uko vizur kichwan?
mwanzo si umesema umeshangaa inspection kufanyika destination na sio source.. sasa unaniuliza mim tena kwann hawataki kufanya inspection at destination
Nilikuwa nauliza maswali ikiwemo "defect ikipatikana gari litarudishwa ilikotoka?" Sasa hio article yako imejibu maswali yangu. Halafu wewe ndio akili punguani. Uliniambia nikupe feedback kumbe ilikuwa ni uchizi tu.
Japo huwa sipendi kucomment kwenye siasa lakini inabidi tukubali tuu kila zama na kitabu chake hatuwezi kufikiria sawa wote hapo nyuma kulikuwa na #hapa kazi tuu watu wakafurahia na wengine wakanuna sasa ni zamu ya #mama anaupiga mwingi wale waliokuwa wamenuna wanafurahia na wale waliokuwa wamefurahia kwenye #hapa kazi tuu ni zamu yao kununa huo ndio ukweli and that's life. Ukiangalia a typical graph haiwezi kuwa smooth hata siku moja has ups and down huo ndio ukweli hata kwenye maisha ni hivyo hivyo.
atlanta 👇🏽dar huwez ipata yote kwasababu hakuna misitu kama kwenu mji umejikusanya sehemu moja
CBd to westland 3km
CBd to upperhill 4km
sasa ww unafkiri kutakua na nn hapo🤣🤣
huyo ndiyo samia sulunyomama anarudisha utaratibu wa gari kukaguliwe nje na sio nchini.. huku ni kuua ajira na kuua ujuzi
Washauri hawafanyi kazi yao vzuri au wanamfanyia makusudinilichoona.. hajali hali ya Tanzania au watanzania hasa ajira, anajali watu wa nje wanasemaje/wanatakaje..
Hata ccm wenyewe hawawezi kukubali aendelee 2025 huyo acha amalizie mitatu hii atuachie nchi maana damage inazidi kua kubwaHii nchi kama huyu mama ataendelea kuwepo ofisini 2025 basi nitaamini ni nchi ya giza kabisa inayofaa kurudi LDC.