babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,436
- 36,050
Stesheni kuu ya morogoro
View attachment 2168169
View attachment 2168170
View attachment 2168171
View attachment 2168172
Hii ni SGR station Dodoma!Nimepita Dodoma leo nimeona karibu na lile jengo u/c TRC HQ kuna jengo jipya linanyanyuka karibu yake.
View attachment 2168222
Hii ni SGR station Dodoma!
Hili project ilifikia wapi?venye rais wenu alikua anakimbia huku huku na makaratasi...🤣😂🤣..Watu walikua hawalali...
uwivu kama huu ndo utafanya ea isiendelee....Kuna mtu humu ndani alisema a large reserve ya oil imegunduliwa kenya nikafikiria kweli kumbe in every 10 words ya nyangau take one. Hii principle still holds water [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2168168
visit EACOP vs Lamu pipelineHili project ilifikia wapi?venye rais wenu alikua anakimbia huku huku na makaratasi...🤣😂🤣..Watu walikua hawalali...
Hakuna render hapo. Unaona jinsi huwa mna wivu?kwann unapost na render hapo au ni macho yangu ??😂😂😂 ila mkenya 🙌🙌
Note that kati ya hio gdp ya EAC ya $240 billion, takriban nusu yake ( yaani$110 billion) ni ya Kenya. Nchi zingine zote zinagawana hiyo nusu ingine iliyobaki.
Hii imebadilisha sn mji wa Nairobi,nilikuwa hapo wiki iliyopita nikashuhudia Kwa macho yangu .Hongera majiraniI'm waiting for tears from ichoboy01 ichoboy01 and his fellow sorcerers.
View attachment 2167523View attachment 2167525View attachment 2167526View attachment 2167527View attachment 2167531View attachment 2167532
NairobiAsa niliwauliza Jiji lipi lina majengo mengi zaidi Marefu katiya Dar vs Nai, mpk leo mnanyamazaga kimya, jibuni hilo kwanza[emoji16][emoji16]
yaani uongo bila aibu mngekua mnavuka boda kuja bongo kwa matibabu , yaani kuna siku mlikua mnashang'aa blood transfusion kua bure huku Tanzania . Acha sifa za kijinga mngekua na bima nchi nzima last year kuna kuna youtuber mkenya anaitwa African tigress alikua anaomba donation hili wachukue mwili wa baba yake hospitali wakazike . Where is those health insurance ?Who doesn't have health insurance in Kenya? Mnadhani mkizifanya Leo basi nyinyi ndio wa kwanza kuifanya[emoji23][emoji23]
wivu gani nyinyi kazi yenu kushindana na tanzania alaf munaishia kwenye white elephant projects 🤣🤣🤣 hakuna mtanzania mwenye wivu na kenyauwivu kama huu ndo utafanya ea isiendelee....
haya post tena hzo picha nikuoneshe render bro 😂😂😂😂Hakuna render hapo. Unaona jinsi huwa mna wivu?
mbona mchina humpi hongera au hujui kama huo ni mradi wa mchina na ataimiliki miaka 30 na hakuna mkenya atapita bila fee kwenda kwa mchina??🤣🤣🤣🤣Hii imebadilisha sn mji wa Nairobi,nilikuwa hapo wiki iliyopita nikashuhudia Kwa macho yangu .Hongera majirani
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
mbona unajibu kinyonge sana 😂😂😂Nairobi
kwenye maneno 100 ya mkenya chukua moja uondoke bro 🤣🤣🤣yaani uongo bila aibu mngekua mnavuka boda kuja bongo kwa matibabu , yaani kuna siku mlikua mnashang'aa blood transfusion kua bure huku Tanzania . Acha sifa za kijinga mngekua na bima nchi nzima last year kuna kuna youtuber mkenya anaitwa African tigress alikua anaomba donation hili wachukue mwili wa baba yake hospitali wakazike . Where is those health insurance ?