Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hayo mashamba ya chai kenya nani ni owners?? si ndio wale wale wazungu wanaolima maua kwenda kuuza kwao wanawaacha wakenya maskini wanakufa njaa kila mwaka?? au nasema urongoo🤣🤣
 
Hiyo chai inayosemekana ni ya Kenya haitoki Kenya peke yake, chai ya Rwanda, Burundi, DRC, uganda, Malawi, Tanzania ipo hapo sababu ya international Mombasa tea auction.
 
Why are you comparing London City to Germany as a country? Hiyo ni kama kufananisha Nairobi na Tanzania ama Dar na Kenya. As a City, London is way richer than the richest city in Germany (Frankfurt) and by far the richest Metropolis in Europe and the Fourth richest in the World both in terms of number of billionaires and 5th richest in terms of GDP.
 
Sifuatilii Tanzania hivo, halafu Watanzania hawajasoma saaana - kwa universities za ng'ambo kama hizi hutowapata wengi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akili ya mkenya ,yaani mkenya na mind set mgando ni kama mdomo kwa meno,

hii dunia inazunguka katika muhimili wake haijaganda

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Usichokijuwa, 7 kati 10 ya watu unaobishana nao hapa kwenye hii battle wamesoma "ng'ambo".

Hili neno "ng'ambo" ni kiswahili cha zamani sana, nyie nyang'au nendeni na wakati.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
What I have realized with joto la jiwe is that amegundua most Tanzanians in this thread are uninformed so anawadanganya tu venye amewish. These are some of the lies he has been peddling.

1. Tanzania producing more cement than Kenya
2. Tanzania exporting more to EAC than Kenya.
3. Tanzania having more millionaires than Kenya.
4. Tanzania growing faster economically than Kenya.

joto la jiwe please find somewhere else to lie[emoji23][emoji23]

 
Hao ndo wale wapuuzi huvulugaga vikao vya kifamilia..
 
Ukraine tu kulikua na wanafunzi wa kitanzania zaidi ya 900 huku kunyaland haikua hata na housemaid kama kawaida yenu

Mnatushinda kwa housemaids abroad sio students, hii battle nainunua
Kwa hii upper cut akirudi nitag[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo ng'ambo ni Marekani pekee, huyu ataacha lini kufikiri kwa kutumia matako?
 
But the UK (including London) is the third largest economy in Europe GDP wise!
 
Unaambiwa mwaka huu uchumi wako utakua kwa 7% (projections)

Halafu mwakani unaambiwa mwaka uliopita uchumi wako ulikua kwa 5% (uhalisia)

Projections...ok ok ok! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…