NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,284
- 19,627
That doesn't change the fact that very few Tanzanians are educated internationally in comparison to Kenyans.Usichokijuwa, 7 kati 10 ya watu unaobishana nao hapa kwenye hii battle wamesoma nje.
Wao wapo buzy kuihujumu TanzaniaFailed state characteristics, insecurity
Ukraine tu kulikua na wanafunzi wa kitanzania zaidi ya 900 huku kunyaland haikua hata na housemaid kama kawaida yenuThat doesn't change the fact that very few Tanzanians are educated internationally in comparison to Kenyans.
Labda kama unamaanisha kuzamia.That doesn't change the fact that very few Tanzanians are educated internationally in comparison to Kenyans.
Was Tanzanite bridge, for instance, designed by Tanzanians? Usijipe sifa za bure kijana.Hivi ni wapi hapa EA madaraja na maghorofa huvunjika kila wiki, kama siyo Kenya?
FYI, hesabu na hisabati ni vitu viwili tofauti.
Kuzamia ndio kusema nini?Labda kama unamaanisha kuzamia.
punguzeni shobo ona sasa ulvo ndezi hutufatilii lkn et unajua kama hatosomi n'gamboSifuatilii Tanzania hivo, halafu Watanzania hawajasoma saaana - kwa universities za ng'ambo kama hizi hutowapata wengi.
wanaongoza kuzalisha maua na chai (3rd in the World in black tea) mzee!Kenya na Agriculture wapi na wapi mkuu?, Ardhi yenyewe hawana. Kwenye kilimo Tanzania ipo mbali Sana katika uwekezaji
failed state, naona magari yao mengi huku kumbe yanahemea fuel
Japo nipo busy kinyama ila hii comment siwezi kuiwacha hivyo. Mawazo kama haya yanaweza kufanya mtu aharishe chooni. Mawazo kama haya sio ya mtu mwenye akili timamu. Sasa utasemaje kwamba investors kufungua maofisi Kenya hakuisaidii Kenya? Hivi unajua microsoft kwa mfano inalipa rent pesa ngapi kwa mwaka? Tuzungumza mambo ya millions of dollars worth of rent per year na pesa hio inabaki hapa Kenya na kuzunguka hapa Kenya. Isitoshe wameajiri Wakenya wengi sana na salary yao ni "international scale" salary. Vile vile wanalipa ushuru kwa serikali ya Kenya. UN nayo imeajiri hundreds of Kenyans na pia salary yao ni "international scale ".What is your goal specifically?, many of us in here we don't understand you really, do you want international companies to open their offices in Tanzania like they do in Kenya, or do you want investors to invest in Tanzania?.
Tanzania is leading by far In this region as the best investment destination, Tanzania receives more FDI than almost all other east African countries, just USA alone invested $1.5B in Tanzania while it invested only $353M in Kenya, $42M in Uganda, $11M in Rwanda and S1M, remember USA is not in the list of top 5 investors in Tanzania, China, India and UK top the list.
Remember that every country has different environment for different investors, Nairobi because of its History, climate, easy for international flight connections, capitalism and strong private sector with weak government sectors, offers good environment for opening offices and shelters for westerners and rich people, on other hand Tanzania with it's Natural resources, peace and stability, strong government stewardship, Geographical position and strong foundation of political stability, offers good environment for investments, this is exactly what is happening.
Kutosoma ng'ambo ni statistics. If you're informed, you'll know. Sio lazima nifuatilie Tanzania ndio nijue hilo. Kwa mfano, Nchi za Africa zilizo na wanafunzi wengi Marekani ni kama ifuatavyo:-pu
punguzeni shobo ona sasa ulvo ndezi hutufatilii lkn et unajua kama hatosomi n'gambo
| Nigeria | 13762 |
| Ghana | 4222 |
| Egypt | 3859 |
| Kenya | 3710 |
| Ethiopia | 2356 |
| South Africa | 2224 |
| Morocco | 1499 |
| Rwanda | 1444 |
| Zimbabwe | 1377 |
| Ivory Coast | 1257 |
| Democratic Rep. of the Congo | 1198 |
| Cameroon | 1027 |
Kumbuka China ni ya Kwanza kwenye kuzalisha black tea. India ni ya pili na Kenya ni ya tatu. Lakini India na China zinaconsume black tea yao almost yote internally. Kenya chai yetu nyingi tunaexport hatukitumii nyumbani sana. Kwa hivyo Kenya ndio the biggest exporter of black tea in the world (japo sie ni 3rd biggest producer)wanaongoza kuzalisha maua na chai (3rd in the World in black tea) mzee!
Kulowea.Kuzamia ndio kusema nini?
Madaraja yote unayoyaona yakijengwa sasa yalisanifiwa na Tanroads.Was Tanzanite bridge, for instance, designed by Tanzanians? Usijipe sifa za bure kijana.
Hivi hii Kampuni ya GS Engineering ni TanRoads? Usidhani sisi wote ni bongolala bradhee.Madaraja yote unayoyaona yakijengwa sasa yalisanifiwa na Tanroads.
Maofisi yote ya kimataifa Kenya yaliyobaki (sababu mengi yameshasepa) hayafikii hata nusu ya pesa za kigeni Tanzania itakayopata kutokana na Uganda oil pipeline!Japo nipo busy kinyama ila hii comment siwezi kuiwacha hivyo. Mawazo kama haya yanaweza kufanya mtu aharishe chooni. Mawazo kama haya sio ya mtu mwenye akili timamu. Sasa utasemaje kwamba investors kufungua maofisi Kenya hakuisaidii Kenya? Hivi unajua microsoft kwa mfano inalipa rent pesa ngapi kwa mwaka? Tuzungumza mambo ya millions of dollars worth of rent per year na pesa hio inabaki hapa Kenya na kuzunguka hapa Kenya. Isitoshe wameajiri Wakenya wengi sana na salary yao ni "international scale" salary. Vile vile wanalipa ushuru kwa serikali ya Kenya. UN nayo imeajiri hundreds of Kenyans na pia salary yao ni "international scale ".
na labda nikuulize swali mfano microsoft atalipa kodi kwa mwaka pale avic international tuseme hzo pesa ni zenu au?? ikiwa majengo mengi yanamilikiwa na foreigners😂😂 watakaofaidika na kodi sio nyinyi ni wenye majengo yaoJapo nipo busy kinyama ila hii comment siwezi kuiwacha hivyo. Mawazo kama haya yanaweza kufanya mtu aharishe chooni. Mawazo kama haya sio ya mtu mwenye akili timamu. Sasa utasemaje kwamba investors kufungua maofisi Kenya hakuisaidii Kenya? Hivi unajua microsoft kwa mfano inalipa rent pesa ngapi kwa mwaka? Tuzungumza mambo ya millions of dollars worth of rent per year na pesa hio inabaki hapa Kenya na kuzunguka hapa Kenya. Isitoshe wameajiri Wakenya wengi sana na salary yao ni "international scale" salary. Vile vile wanalipa ushuru kwa serikali ya Kenya. UN nayo imeajiri hundreds of Kenyans na pia salary yao ni "international scale ".