Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu tunakumbushana tu though wote ni wabongo. Ni hivi ATCL haujanunua na wala haimiliki ndege. Kilichofanyika ni Magufuli kununua ndege na KUWAKODISHA ATCL.
Huo ndo ukweli .
 
Kama kawaida muongoza mgomo ni mkenya huwezi kuta mbongo anafanya huu ujinga

View attachment 2165854
Hili bomba lingeenda kenya, sisi wabongo hata tusingekuwa na huu wivu wakenya walionao.. sisi huwa hatuko busy na vitu vya nje..wanaharakati wengi wa kibongo huwa wanapigia makelele mambo ya ndan ya nchi..vya nje huwa hawana mda nao..
 
data za uchaguzi ,unategemea nini kipindi hiki?
 
Hata hii pia bado watalaumu Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

View attachment 2165829
Umesoma full story.

From today sitaki mazoea na mkenya yoyote yule Mafala wakubwa sana. Nipo huku Mara near Kenya ngoja nidake mkenya anakuja kuomba kazi ya kuchunga ng'ombe natimua.

Ufaransa na Ulaya wana mabomba mangapi?

Mbona mlililia bomba mkanyimwa.

Lamu pipeline je?

Ningekua muda huu ufaransa huyo dada angekiona cha moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…