fantasticfive
Senior Member
- Jan 7, 2022
- 160
- 286
That bulldozer is irrelevant to the point I'm trying to prove. Si mnasema you can access all parts of Tanzania via tarmacked roads? Where do you see tarmac on that photo?We nyumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2163963 huoni mkono wa bulldoza kulia ebu yatumbue hayo macho ili uone vizur [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...hiyo road inatengenezwa ...kiazi mbatata wewe
na hapo hapo akumbuke tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya 🤣🤣🤣We nyumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2163963 huoni mkono wa bulldoza kulia ebu yatumbue hayo macho ili uone vizur [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...hiyo road inatengenezwa ...kiazi mbatata wewe
This road starts in Kitale and ends in Lokichogio and was completed last year. Shida yako iko wapi bongolala even if it was completed this morning?Kwanini mkionesha Northern Kenya hasa Lodwar huwa mnsonesha barabara pekee? Au hakuna watu wanaishi huko?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu ulivyo mpumbavu unalalamika eti wabongo tunasema hakuna road huko, Yani ushasahau kwamba hyo road imekamilika mwaka huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sema ulitaka UKRAINE apigwe haraka umsifu putinUSA is busy fueling war in Ukraine
https://www.facebook.com/
Turbi - Moyale road in Moyale County, northern KenyaYaani jamaa anajitahidi kutafuta pich mbaya mbya za bongo akizipata anakuta eneo linajengwa alafu anajifanya kama vile haoni...... hajui kuwa TANZANIA nzima inajengwa kila sehem sio DAR TU kama wao nairobi
Kenya is the biggest exporter in East Africa. Shida yako huwa unaongea bila evidence.Tanzania overtakes Kenya as Uganda’s largest imports source in EAC
Tanzania capped an eight-month surge in exports to Uganda during June, replacing Kenya as Uganda’s biggest source of imports within the East African Community (EAC), according to data from Bank...www.thecitizen.co.tz
Tanzania’s exports overtake imports from Kenya for first time in decades
Tanzania’s exports to Kenya have exceeded its imports to the East African Community (EAC) partner state for the first time in decades, signalling improved trade flows under President Samia...www.thecitizen.co.tz
Kenya haiwezi shindana na Tanzania, wacha kupika data na uanze kukubaliana na ukweli, punguzeni ujinga
Mimi nina washikaji wangu ambao baba na mama yao ni wakenya (Surname yao ni Barasa or Kakai- sijui hata nikabila gani huko Kenya) waliohamia Tz long time ago na wamefanya kazi hapa TZ mpaka wamestaafu. Hao washikaji wote wamezaliwa Tz na ni watz kwa kuzaliwa (by birth), hata huko kenya hawapajui. Kwetu sisi ni watanzania wenzetu na wana haki zote kama sisi wengine. Hatuwabagui kwa sababu ya asili ya wazazi wao japo wazazi wao ni retired na hawana uraia wa Tz labda kama wameomba mwaka huu. HAKUNA UKABILA TZ KAMA NCHI.Ukabila tulikuachieni nyie msiokuwa na elimu, sisi huku hata baba ako na mamaako wakitokea Kunyaland lkn ukazaliwa Tz we count you as a Tanzanian, kumbuka kuna mtu anaitwa Mungai tulimpa mpk uwaziri lkn asili yake ni Kenya, na huyu Mungai ndiye aliyehusika na kuiyumbisha elimu yetu.
Same bureaucracy iliyowakumba investors from Tanzania. In short Kenyans dont like competition or rather their leaders have declared interests in those kind of investments.Hivi kwanini Dangote hataki kuwekeza Kenya?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngombe watoe wapi hao na ukame kila mahali. Brokerage economic system ndio wanayo tuu hapo.Sasaaha Kunyaland ni nn inaweza?
I thought dairy sector is ur strong doing?
yani kwenu, kama ingekua tanzania, ingekua ni ukweli, hivi ikikua ni kenya, inakua no bonokoEndeleeni kujidanganya na vitakwimu feki kama vya ambavyo mnavyojidanganya kwenye takwimu feki za uchumi.
Green arrow ni water bowser kwaajili ya ujenzi wa barabara
Lame excuseGreen arrow ni water bowser kwaajili ya ujenzi wa barabara
Red arrow ni box culvert pembeni ya temporarily diversion road
So barabara yote hiyo ipo under construction, Kigoma pekee inajenga zaidi ya kilometers 400 za lami, ukitaka ushahidi nakupa
View attachment 2164027
and now this is what is almost always usually referred to as what i realy luv ❤ most... ie. jealously from the other end..Ngombe watoe wapi hao na ukame kila mahali. Brokerage economic system ndio wanayo tuu hapo.