Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Who told you Kenya doesn't have markets like those ones you are mentioning? Infact we have better than what you have in Tz. For your information, malls za Kenya inamilikiwa na wakenya.
Typo I meant malls instead of markets. We also have those kind of markets that you have there.
 
Unachekesha.
 
Pesa Iko wapi wakati wakenya wanategemea chakula cha misaada toka China na UAE?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Just because you don't have malls in Tanzania haimanishi that you don't want them, it's only that you don't have the money to build them. If I may ask, list those malls owned by foreigners tuone kama zimefika hata Tano.
Show us any single Mall in Kenya which was built by GOK for the purpose of helping SMEs, all malls are privately owned targeting middle and higher classes for making profit.

On other hand in Tanzania we are building markets which are mainly used by low and middle class people which make 85% of Tanzanians, our Government is helping it's citizen, while your country is subjecting lower class citizens to compete with higher class citizens in malls[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi nikuulize, ni kitu gani kimewazuia kuandika na kurekodi hio gdp yenu kubwa kwenye makaratasi? Au mumekosa vitabu na kalamu tuwauzie? [emoji38]
Zamani tulikuwa tunaficha data kutokana na mawazo ya kimaskini ya viongozi wetu wa enzi hizo lkn baada ya Magufuli kuingia mambo mengi akaweka hadharani na ndiyo maana ukaona tuliingia uchumi wa kati mapema kabla ya wakati.
 
Ww ulisema utakosekana JF kwa kipindi kirefu, nashangaa hata mwezi haujaisha umerudi, by the way you are welcome again Mr. Don[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ww ulisema utakosekana JF kwa kipindi kirefu, nashangaa hata mwezi haujaisha umerudi, by the way you are welcome again Mr. Don[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ongea pole pole🤫🤫 Niliambiwa na wenzako niwe naleta salamu mara moja moja., leo niko na free time kiasi.., napita tu, iko wapi SGR train ya umeme?..,🤔😅
 

Kenya sio Tanzania ya mifukara kama wewe eti kuenda mall ni ya matajiri.., hadi wale ma pastors wenu fake wanaambia washirika wao watawaombea wabarikiwe ili nawao waende shopping kwa malls, yaani ni kitu cha ajabu mno kule kwenu, ushamba na ufukara ni gharama aise😂😂🤣🤣🤣, (kuna thread mtu kafungua kule kwenu kwa habari na hoja mchanganyiko in the recent past) mko down sana ba mzee! Shopping for daily products in malls in Kenya ni cheaper than retail shops mitaani, the reason malls ziko kila kona and popular in Kenya.,

Lake basin Mall Kisumu. ya serikali..,


 
Mzaha wa nn, kwani ni uwongo kwamba tunafanya miradi yenye thamani kubwa kuliko nchi zote za EA combined?

Kwani ni uwongo mna njaa wakati cc hatuna?

Kwani ni uwongo tuna modern Airpots kuliko nyinyi?

Kwani ni uwongo tuna elimu bora inayotoa viongozi bora na experts wa kuaminika kuliko nyinyi?

Kwani ni uwongo miji yenu ni michafu?

Kwani ni uwongo mna Slums?

Kwani ni uwongo sisi ni wastaarabu kuliko nyinyi?

Kwani ni uwongo hamna BRT?

Kwani ni uwongo hamna electrical SGR?

Kwani ni uwongo hamna cable stayed bridges?

Kwani ni uwongo hamna 3level interchange?

Kwani ni uwongo hakuna infrastructure yoyote ambayo ipo Nairobi ikakosa kuwepo Dar lkn kuna infrastructures kibao zipo Dar na huwezi kuzipata Nairobi?
 
Kwani ni uwongo tuna elimu bora inayotoa viongozi bora na experts wa kuaminika kuliko nyinyi?

Punguza kuvuta majani.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…