Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwani ww shida yako ni nn? au ww unataka wote tuamini unavoamini ww?? mm binafsi mrusi yuko sahihi wewe unasemaje ?
Why do you feel attacked while I only asked you a simple, non-threatening question? Do you find it fun that Russia is invading a sovereign country?
 
yani bila kenya, tanzania kwisha.! ata washukuru mola sana kwa uwepo wa kukua na jirani wapower kama kenya (the 3rd largest economy in sub saharan africa, only after nigeria and south africa). yani hela yetu dollar. east africa nzima ina benefit jili tu ya kenya. sio uganda, sio ss, sio rwanda, sio drc, sio tanganyika, na sasa sio ethiopia. kenya kwa ukanda huu ni kama vile SA kwa ukanda wa kusini mwa africa

 
kwangu ni sawa russia anachokifanya ww unataka iwe vp??
😂😂😂😂 ichoboy tatizo lako una-panic sana. Jazba yote ya nini? Kama unaamini katika msimamo wako basi huna sababu ya Kuwa threatened na maswali yangu. Kwanini unadhani kuwa Russia iko sawa katika jambo wanalofanya Ukraine?
 
😂😂😂😂 ichoboy tatizo lako una-panic sana. Jazba yote ya nini? Kama unaamini katika msimamo wako basi huna sababu ya Kuwa threatened na maswali yangu. Kwanini unadhani kuwa Russia iko sawa kaaika jambo wanalofanya Ukraine?
mm nipanic kwa lipi kwanza unanijua mm vzr sina muda wakuongea naww, wewe amini unachoamini na mm nitaamini navoamini ila jibu langu mrusi yuko sahihi asilimia 100
 
😂😂😂😂 ichoboy tatizo lako una-panic sana. Jazba yote ya nini? Kama unaamini katika msimamo wako basi huna sababu ya Kuwa threatened na maswali yangu. Kwanini unadhani kuwa Russia iko sawa kaaika jambo wanalofanya Ukraine?
mm nipanic kwa lipi kwanza unanijua mm vzr sina muda wakuongea naww, wewe amini unachoamini na mm nitaamini navoamini ila jibu langu mrusi yuko sahihi asilimia
 
mm nipanic kwa lipi kwanza unanijua mm vzr sina muda wakuongea naww, wewe amini unachoamini na mm nitaamini navoamini ila jibu langu mrusi yuko sahihi asilimia 100
Kuna relation gani kati ya Russia-Ukraine conflict na mimi kufahamiana na wewe? Nikishakufahamu ni kitu gani nitafaidika nacho? Picha zako zimesambaa humu JF na twitter. Tweets na replies zako humu zinatosha kukufahamu wewe ni mtu wa aina gani na fikra zako pia.
 
picha zangu zinahusiana nini au zinashida gani au mm naogopa kitu gani au ukiona picha ya mtu basi tayar ushamjua mtu??

tatizo lako niliwahi kukwambia punguza ujuaji unajuaji mwingi sana usiokua na tija na wala usifkiri ujuaji mwingi basi ndio unaakili nyingi
 
Si unataka nikufahamu? 😂😂 Au sio wewe uliyesema "kwanza unanijua mimi vzr"? Na ndio maana nikakuuliza kuwa mimi kukufahamu wewe kutanisaidia nini? Clearly hata vitu unavyoandika huvielewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…