NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,292
- 19,642
Name your 10 biggest companies and their CEOs na mimi niname our 10 biggest and their CEOs tumalize hii story. π€£π€£Kunyaland the nearest African with economy ownership ni Somalis and South Sudan then kunyans ππππ
Ukiondoa Wasomali kunyaland leo, kesho Asubuhi unakuta hakuna kunyaland
Large scale economy ownership ni wazungu wahindi waarabu
Wazungumze yaishe vita haina maana yoyote,watu wanakufa,mali zinaharibika hapo faida iko wapi
Wewe ni kenge ndugu,wanyama wameongezeka Sana na hata hilo zoezi lazima lipewe idhini na mamlaka za hifadhi za wanyama Dunia.the kind of country and leadership we are currently experiencing with.[emoji20][emoji174]
Shida naongea na mtu haelewi investments and stocks. Ungekua unaelewa ningekueleza what a resident account means but sasa sioni tukisaidiana. π€£π€£π€£Standard chartered ni international owned bank kama ilivyo equity, Kenyans own microscopic shares na hamna maamuzi yoyote kwenye general operations out of minors ya hizo entities
Wapuuzi tuu haoUtadhani ni jambo jipya au sheria inakataza.
Are you aware that ukiondoa wakenya Tanzania you economy will fall flat?
Ninyi muwashukuru Wasomali sana na muwaheshimu Wasomali, Mombasa port pale mizigo 70% marchandise ni Wasomali, Wasomali ndio walipa kodi wakubwa kunyalandName your 10 biggest companies and their CEOs na mimi niname our 10 biggest and their CEOs tumalize hii story. π€£π€£
Sawa hawa ni wafrikaπππnani alikwambia huyo ni muhindi πππ ukiskia tu mtanzania kanunua munaanza kuhaha
marekani hataki sasa huyo rais yuko tayar lakini waliomuoa, waume zake nato hawataki aachie yale majimbo kirahisiWazungumze yaishe vita haina maana yoyote,watu wanakufa,mali zinaharibika hapo faida iko wapi
Kenya is run by Kenyans. Tanzania is run Kenyans, end of story.Ninyi muwashukuru Wasomali sana na muwaheshimu Wasomali, Mombasa port pale mizigo 70% marchandise ni Wasomali, Wasomali ndio walipa kodi wakubwa kunyaland
so nairobi imeisha hapo ππππ
Ulianza mjadala ukitupatupa figures and 'facts' uchwara, sasa nimekuwekea the actual facts umeanza kupayukapayuka kama mwehu yani taking the discussion to the pigs. Heeeheee. Tactics of a loser. π€£π€£π€£π€£Ninyi muwashukuru Wasomali sana na muwaheshimu Wasomali, Mombasa port pale mizigo 70% marchandise ni Wasomali, Wasomali ndio walipa kodi wakubwa kunyaland
so hao sio watanzania ??Sawa hawa ni wafrikaπππ
The rajabali brothers.
wakenya gani wakat uchumi wote wa kenya umeshikwa na wageni π€£π€£π€£π€£Kenya is run by Kenyans. Tanzania is run Kenyans, end of story.
Hakuna kitu kinaniuma kama kubinafsisha bandari, kila nilifikiria inaniuma sanaTaifa lipo mikononi kwa mwendawazimu, tutaona mengi!