Hawa nimezoea. Wanapiga hadi data za serikali yao, WB, IMF, Knight Frank etcππ.Hahaha. Sijui kama watarudi baada ya Kiboko hichi. Kwenye infrastructure wapo karibu mwisho huko. Pole yao. Utasikia wanasema kwamba hii data imepikwa.
Kuliko hizi, onyesha!Dar roads are the ones with potholes everywhere. Ama unapinga nikionyeshe?
Kuna tofauti kati ya quality na quantity....Hahaha. Sijui kama watarudi baada ya Kiboko hichi. Kwenye infrastructure wapo karibu mwisho huko. Pole yao. Utasikia wanasema kwamba hii data imepikwa.
General mstaafu wa US ashasema anachofanya Rais wa Ukraine ni ujinga! Sasa kama Sweden na utajiri wake woote yupo neutral Ukraine inajiamini nini kudindia Russia?Ukraine nao pia wana vichwa ngumu. Russia imewaambia kwamba wakikubali kuwa neutral state kama Sweden au Austria kwamba Russia atawacha mashambulizi na kuondoka nchini humo lakini Ukraine wamekataa offer hiyo. Ni kama wanataka kuendelea kupigwa. Mimi naona hii offer ya Russia ni reasonable na Ukraine wangekubali kuwa neutral ili kipigo kiishe.
Tunaona kama watu wanavyokufa na njaa uko turkana na kuletewa vyakula vya misaadaMbona hatuoni vitu Kwa ground? Ama siku hizi renders imekuwa ground?
Ataelewa basi uwezo wao kufikiri ushafika mwisho mzungu kwao munguna umuambie kabisa kuwa ukienda na Tz kwenye masuala ya kesi kwenye mahakama za kimataifa hauchomoki lazima aupige mwingi anakupiga chini
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Kwani kununua ndege ndo inaamanisha kwamba wao ni allies mbona china wanafanya biashara na mmarekani toka kitambo ila hawana urafiki wowote alafu Ndio the biggest trading partner wa marekaniUnadhani Saudi Arabia ananunua jet kutoka Uchina au Urusi? Fanya Research yako. UAE amenunua F35 kutoka Marekani. Saudi Arabia ana F16 kutoka Marekani. Fanya research yako. Kuna maelfu ya wanajeshi wa Marekani ambao wapo Saudi Arabia kufanya mafunzo na majeshi wa Saudi Arabia. Marekani ina airbase kubwa sana Qatar. Marekani ina military base kubwa sana Turkey. Fanya Research yako.
Kitu kipo kwenye ilani icho mzee kitajengwa mda sio mrefuBado tuko michoro tu[emoji16][emoji16] hii nchi tunapenda sana kupoteza wakati
Mzee brt roads zina drainage mzee ukiangalia vizuri kwenye sidewalks kuna kama mifuniko ya kalavati, pembenzoni mwa barabara kuna drainage ways zinazo peleka maji kwenye mitaro iliyochimbiwa chiniHawa wakiongea utadhani wametoka Europe π π
Mna complain poor drainage when you don't have drainage at all...View attachment 2152858View attachment 2152859View attachment 2152860View attachment 2152861
Hamna kuzidiwa ila Ndio ukweli mzeeUkizidiwa ukubali tu acha unafiki
For number of reasons tumezidiwa unaweza bisha tu kujifurahishaHamna kuzidiwa ila Ndio ukweli mzee
Were we not talking about drainage you goal shifter? π πUkimwita mtu yeyote smart atakuambia that BRT road is way better planned from more number of lanes to wider service road aside pedestrian lanes! Where's that Mombasa road is a shoddy work some patches have been plastered some have not!
Tumezidiwa kwa lipi mzee we unajuakenya na moroco wana gdp almost same ila ukienda kwa ground ni mbingu na ardhiFor number of reasons tumezidiwa unaweza bisha tu kujifurahisha
Labda wewe ndio umezidiwa.For number of reasons tumezidiwa unaweza bisha tu kujifurahisha
Acha ku-post huu ujinga!