Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Pata porojo kdg Tony 😂😂😂.
 
Hata kama Marekani angependa kupunguza nguvu za EU, hataipunguza sana. Bado sioni atafaidika vipi kwa kupunguza nguvu ya EU hususan ukizingatia wakati huu ambapo Russia ananguruma kama simba. Wakati huu Marekani anatafuta marafiki wa kumsaidia kupambana na Urusi. Isitoshe China nayo imekuwa tishio kubwa kwa Marekani. Mmarekani anaziogopa Uchina na Urusi kwa sasa.
 
So, unadhani kenya ikipigwa na Russia au Us kuna nchi za ulaya zitakazowanyooseha kidole?
 
It's true, baada ya Trump na Sera zake za kibabe dhidi ya members wa NATO kuliamsha vugu vugu kubwa Kwa wanachama hao. Ndio maana wakataka kuunda kikosi spesho Kwa EU pekee.. Wakati wakiwa hapo England ikasukumwa nje na brexit. Kumbuka walitaka kujichelewesha na kurudi EU Kwa mlango wa nyuma ila Germany na France wawawakazia waharakishe kuondoka.

Ishu ya US na Australia kuweka ushirika kwenye kutengeneza nyambizi zao pia ilimchefua France. As ndio ilikuwa deal lake.. Hii ilichochea mvurugano ndani ya EU na NATO Kwa ujumla. England haina nafasi wala ushawishi EU.. Na England ndio kiungo cha US ndani ya EU.. Hivyo hakuna connection nzuri.. Lengo la US Sasa ni kuona EU haikai pamoja na kutengeneza hicho chombo cha pamoja cha kiulinzi maana mshirika wake wa ulaya England atabaki uchi/vulnerable na yeye pia ndio atasahaulika mazima kwenye block hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UK inacheza role chafu in EU nakumbuka baada ya France kukosa deal la Nyambizi! boris Johnson aliwaambia hivi!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…