Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,395
- 5,804
Mbona nyie na GDP yenu ya mchongo na kiji per capita kiduchu mnajiita rich humu?Boss neno rich ina maana tofauti tofauti. Kama "rich" unamaanisha rich per capita "yaani utajiri wa mtu mmoja mmoja then yes Mbelgiji mmoja ni tajiri kushinda Mrusi mmoja.
Hawa jamaa ni kizungu mkutiHawa watu ni wa ajabu sana ikiwa kwao wanasema GDP ni kipimo cha uchumi mkubwa kwahiyo wao ni matajiri sasa Russia GDP yake kubwa na ni GDP ya 11 duniani lakini wanawaita masikini dah so double standard sasa. Tuchukue lipi? Au ndio ule msemo wa mambo kumi ya nyangau chukua moja utembee?
Mwambie akuletee vice-versa ya hii 😂Kiujumla watz hawajui chochote kuhusu Kenya.. Nyiny ndio mnajua Amber ruttView attachment 2142991View attachment 2142992View attachment 2142993View attachment 2142995View attachment 2142994View attachment 2142996
Waeleze haya wakunya wenzako waelewe tag mmoja mmojaPutin will destroy Ukraine and that comedian president is too naive to realize that USA &NATO will never come to Ukraine's aid. Any confrontation between NATO and Russia will destroy the world as we know it via nuclear bombs. Ukraine will be shelled to rumble sababu Ukraine wanataka kuingia NATO. Ukraine should have never been involved in GEO politics because wanatumiwa na USA like a pawn.
Its an unwise move from Ukraine kujiunga na NATO.
Kumbuka vita vinaendelea ndani ya ardhi ya Ukraine. Hakuna sehemu ndani ya Russia au NATO itaadhiriwa ata kidogo. Sanctions Russia washazoea tangu enzi za Crimea.
Kudebate na wewe ngumu wakati mwingine. Una tabia ya kuignore facts. Unasema gdp ya Kenya ni ya makaratasi. Sasa hivi unapuuzilia mbali gdp per capita ya nchi nilizotaja kwa sababu nchi hizo zina gdp per capita mara tano zaidi ya Russia. Yaani wewe wakati wowote ukiona facts ambazo hupendi unazipuuzilia mbali kwamba ni fake au ya makaratasi. Lazima mtu akubali kushindwa wakati mwingine.Bablai go east go west ila Russia ni zaidi ya hivyo vinchi umetaja hapo, ni US pekee ndio at least inauwezo wa kusemezana na Russia
Wakati ndio wameongeza ufuasi 😂😂😂Hii video ilifanya wakenya kuanzisha kampeni za kususia nyimbo za tz[emoji23]
Yaani wasanii wao wamebidi waimbe kama Watanzania ili kutoboa sababu wamejua Wakunya huwambii kitu kuhusu bongoflavas 😂😂😂Mziki huwezi susia ni ujinga tu mbona nazizi, wahu , nameless , prezoo na jua kali waliweza sikika kipindi hicho , au yule wily Paul alijulikana kiasi . Kwa mfano otile brown sijui hata nyimbo yake moja . Ukiimba vizuri utaoboa tu . Khaligraph Jones anajulika kiasi . Wengine siwajui kutoka kenya at least niliowataja nishisikiaga wakiamba . Sasa mziki wa kenya umeshuka nadhani wanaiga sana wasanii wa nje ndio maana hawasikiki
Sie ni masikini kama nyinyi ila pia masikini huwa hawatoshani. In 2019, Gdp per capita ya Tanzania ilikuwa $1,150 na gdp per capita ya Kenya ilikuwa $1,800. Gdp per capita ya Kenya ni almost double yenu.Mbona nyie na GDP yenu ya mchongo na kiji per capita kiduchu mnajiita rich humu?
Russia has totally failed to take over ukraine ,imagine this is the 13 day since they invaded but wame pata resistance ya hali ya juu...usisahau russia is ranked as super power country after USA..We were expecting an easier take over for russia .usisahau urusi pia ilikuja ikatandikwa Afghanistan..walipojaribu kuenda vita nao..usicheze na vita ya kujipatia uhuru kwenye nchi..Do you remember vietnam war when USA decided to invade the country uliona hio resistance walipata..i remember B52 plane venye zilibomb hio nchi ikabaki kama moon space..Trust me the longer it takes for russia to take over ukraine..the more complicate it will be for them.Putin will destroy Ukraine and that comedian president is too naive to realize that USA &NATO will never come to Ukraine's aid. Any confrontation between NATO and Russia will destroy the world as we know it via nuclear bombs. Ukraine will be shelled to rumble sababu Ukraine wanataka kuingia NATO. Ukraine should have never been involved in GEO politics because wanatumiwa na USA like a pawn. USA wanataka Ukraine waingie NATO ndio wapate ruhusa ya kuleta missiles closer to Moscow. Like the Cuban missile crisis in the 20th century, USA are behaving like former Soviet Union.
Its an unwise move from Ukraine kujiunga na NATO.
Kumbuka vita vinaendelea ndani ya ardhi ya Ukraine. Hakuna sehemu ndani ya Russia au NATO itaadhiriwa ata kidogo. Sanctions Russia washazoea tangu enzi za Crimea.
Mnapenda sanaa kujikocha na uongo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]keep it upwell put bro.. most kenyans barely knows anything thts going on down there... not even their current president. we never discuss tanzania here. but i hear kenya trends in tanzania like hell..!! in almost all media platforms per se. imagin kenyans still think dar es saalam as the capital and not dodoma. its only the few of us here in this forum that are now well vast with was tz realy is. but prior to me coming here, i totaly knew nothing.! what mostly sell tanzania here is their music artistes, nothing else. once they release a track, their first stop is kenya. look at diamond platnumz and ali kiba or even rose muhando and maria susho. we never see any tanzanian manufactured products or even their companies here. tanzanians here are stereotyped as beggars or they came to look for greener pastures. you'll never find any kenyan bigger in a tanzanian street, thought here in this forum, they realy claim tht we live in shanties and slums. then why do they come to beg in the first place.....?
yatafakari hayo [emoji848][emoji848]
Timo wachana na hawa washamba hawaelewi kwamba superpower pia inaweza kushindwa na nchi kadogo. Wanasahau Vietnam kanchi kadogo kaliitandika Marekani vita takatifu hadi Marekani akainua mikono. Afghanistan nayo iliitandika USSR hadi USSR ikavunjika. Last year Marekani baada ya kupigana na Taliban miaka ishirini waliinua mikono wenyewe na kujitoa huku wakipigwa bomb kwenye airport. These guyz are fools, they think a superpower must win. Wasome historia waone jinsi underdogs pia huwa wanashinda vitaRussia has totally failed to take over ukraine ,imagine this is the 13 day since they invaded but wame pata resistance ya hali ya juu...usisahau russia is ranked as super power country after USA..We were expecting an easier take over for russia .usisahau urusi pia ilikuja ikatandikwa Afghanistan..walipojaribu kuenda vita nao..usicheze na vita ya kujipatia uhuru kwenye nchi..Do you remember vietnam war when USA decided to invade the country uliona hio resistance walipata..i remember B52 plane venye zilibomb hio nchi ikabaki kama moon space..Trust me the longer it takes for russia to take over ukraine..the more complicate it will be for them.
Sie tunatengeneza bunduki yetu na risasi pia. Nyie mnaimport bunduki na risasi.KDF inazalisha hata sindano?
Nyenyenyenye tunazalisha mobius
Kumbe ni Mali ya Mzungu 🤣🤣🤣🤣
Wanaume hawa hapa wanaunda mpaka tanks
The only place we hear alot about kenya its in this very forum...Achana na fake PowerPoint job
Kwa ground pako hivi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msiijue Tanzania wakati hakuna mziki wala movies zinatazamwa kunyaland isipokua za Tanzania? Kuna mkunya asiemjua diamond, alikiba, shusho, babalevo, mobetto, ambalulu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini mtanzania kujua anything about kunyaland ni task
weka hio tweet ya Rob Lee. Sio kuropokwa tu.The video is edited from one year a go to One Hour ago, not recent, Go through Rob Lee contents he confirmed later that that is not even Russian Helicopter ( see the black Tail)
nisingalikua nimeingia humu nisingalijua chochote kuhusu kenya in to details..The only place we hear alot about kenya its in this very forum...
Ata mimi nashanga na hawa..Hakuna vita kali kama watu wote kwenye nchi wameamua kuungana na kupigania nchi yao..Ata UKraine bado haijamalizwa..ungeangalia Vietnam..especially kuna ile vita ya operational Line backer 1 na line backer 2...ungeona venye B52 iliponda hio nchi ikarudi kwa stone age ungewaonea huruma...This war is special coz nikama..wanaichi wa urusi na wanajeshi pia hawajaipenda..na the other side wanaichi wa Ukraine wako na morale ya vita and very determined..For me let Americans arm the UKraine alafu tuone penye wanaeza fikishana but trust me Russia has totally failed..Tke this example nikama TZ inataka kujoin SADC but kenya inakata na ku decided to invade..dont you think it will be fair for tanzania to decide to defend them self basing on TZ ni nch dependent and can decide to make its own decision with out approval ya Kenya..Timo wachana na hawa washamba hawaelewi kwamba superpower pia inaweza kushindwa na nchi kadogo. Wanasahau Vietnam kanchi kadogo kaliitandika Marekani vita takatifu hadi Marekani akainua mikono. Afghanistan nayo iliitandika USSR hadi USSR ikavunjika. Last year Marekani baada ya kupigana na Taliban miaka ishirini waliinua mikono wenyewe na kujitoa huku wakipigwa bomb kwenye airport. These guyz are fools, they think a superpower must win. Wasome historia waone jinsi underdogs pia huwa wanashinda vita
mimi pia sikuwa najua lolote kuhusu Tanzania kabla ya kuingia hapa.nisingalikua nimeingia humu nisingalijua chochote kuhusu kenya in to details..