Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii biashara ya kuipamba Kenyan Capital sijaikubali👇

View attachment 2141811
Yaani badala ya kujenga skyscraper huko kwenu Dar es Salaam ambako hakuna skyscraper, mnatumia kodi za serikali yenu kuja kujenga skyscraper huku Kenya? Maoni yenu ni gani Wabongo kuhusu hili jambo?
Geza Ulole ichoboy01 The best 007 Sama boy 255 itakuwa serikali yenu inafahamu vyema kwamba ikisimamisha skyscraper Nairobi itacollect rent ya kutosha lakini ikijenga Dar es Salaam itakosa wateja? Sijui huwa tunapiga battle kwa nini na serikali yenu inaonyesha fika kwamba Nairobi ndiko kuna biashara zaidi. Yaani serikali yenu inakataa kujenga skyscraper Dar inakuja kujenga Nairobi halafu wajinga bado wanalinganisha Nai vs Dar?
Cc NairobiWalker Kafrican Teargas dyfre
 
Hizo sanctions hazichukui au hazidumu hata miezi sita!
 
Hilo jambo hata mm siliungi mkono, kutakuwa kuna wahuni wanataka kupiga pesa wamemrubuni mama, na maskini ya Mungu mama wa watu huenda hata hajui aseme nn, wahuni watakuwa wamemuongopea serikali itapata pesa, yn vipesa vya kudunduliza vitakavyopatikana kwenye huo mradi wala haitarudisha hyo pesa, ofcz hapo tutawanufaisha wakenya kwa vipesa mbuzi watakavyopata wapigaji, siungi mkono huu upumbavu.
 
Tony254 nakusubiri kwenye battle ya Deben vs Ka Nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuanze na population, Kwenye population Nairobi imeichapa Durban.
Nairobi's population = 5 million
Durban's population = 3 million.
 
Hii plan ni ya zamani. Usimsingizie mama. Nakumbuka hata wakati wa Magufuli, hii plan bado ilikuwepo ila sijui ni kwa nini ujenzi haukuanza wakati ule. Mradi huu ulikuwa umekufa sasa umefufuliwa tena.
 
Tuanza na population, Kwenye population Nairobi imeichapa Durban.
Nairobi's population = 5 million
Durban's population = 3 million.
Na tukisema mnapigana sana miti mnabisha, yn kamji kana 696km² na mpo over 5mil au 6mil, Deben Ina zaidi ya 2200km² wapo mil 3 pekee na bado wamewazidi kwenye uchumi. Sasa hapo huoni kama umejidhalilisha?
 
Hii plan ni ya zamani. Usimsingizie mama. Nakumbuka hata wakati wa Magufuli, hii plan bado ilikuwepo ila sijui ni kwa nini ujenzi haukuanza wakati ule. Mradi huu ulikuwa umekufa sasa umefufuliwa tena.
Magufuli ajenge jengo refu Nairobi wkt hata Dar alizuia ujenzi wa majengo marefu yasiyo na tija! Hivi unajisikia unachosema kweli?
 
Na tukisema mnapigana sana miti mnabisha, yn kamji kana 696km² na mpo over 5mil au 6mil, Deben Ina zaidi ya 2200km² wapo mil 3 pekee na bado wamewazidi kwenye uchumi. Sasa hapo huoni kama umejidhalilisha?
Nimekuwa nikigoogle sasa hivi, nimeshangaa kuona Durban ina gdp ya $83 billion. Nimeinua mkono. Sitaki hii battle. Hahaha. Wacha battle iishe.
cc Sama boy 255
 

Chief don’t be twisted with their traps, hawa jamaa wanawachezea mind game kama hamjastukia, wanaanza mchezo wa kulinganisha The Might Dar es Salaam na vi mji hafifu kama Accra alafu eti Stinky Nairobi wanailinganisha na Giants kama Durban. Hii ni mind game na lengo ni kuwafanya mjisikie dhaifu, achaneni nao, kama wanataka hizi ligi wakafungue huko kisha wawaite wenye miji yao washindane huko, sisi humu tunajua battle ni Dar and Nairobi na tayari hali ni mbaya kule pande za nyang’au. [emoji28][emoji28]

#Kichapo Kiendelee
 
Nyie wasenge mmekua mkitupaka mbaya sana Duniani wapuuzi nyinyi.. na mtajua hamjui this time
i swear before god🤚🏼.. sisi wakenya hatunanga shugli na maisha ya majirani zetu, lakini watanzania (sio tu hapa jf, kote yani) na pia kiasi waganda wanajisumbua sana na kenya, na chochote kinacho endelea huku.yani mko na machungu sana na sisi....
kisa,
jealousy.. just because you seem not to understand how kenya, a small country, but almost always continue to outshine you in almost all fronts..
 
Magufuli ajenge jengo refu Nairobi wkt hata Dar alizuia ujenzi wa majengo marefu yasiyo na tija! Hivi unajisikia unachosema kweli?
Wewe hujanielewa. Ndio maana nimesema ujenzi ulisitishwa. Point yangu ni kusema kwamba plan hii sio geni, hii plan imekuwa kuanzia zamani ila ilisitishwa wakati wa Magufuli.
 
Ngoja nitumie rungu kuua nzi sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aonyeshe catenary cables tuu in Nairobi ili na mimi nifunge account yangu JF. Maana hivi vyote vipo Durban na Dar pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…