Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kama hujui kitu unyamaze sijakuuliza ina-belong kwa nani nimetaka uniambie inafanya nini function zake ili ujue ukunya wako upo wapi!
Unajifanya mtu wa IT na haujui P2P fintec inamaanisha nini, duh!
 
Watanzania huwa wanakasirika sana wanapoona Safaricom is more than half owned by Kenyans.

GoK 35%
Local investors 15%



 
allow me to task you pipo with 1 assignment today.. hebu funga macho sahii na u imagin dar bila bldng tatu za blue... coz what will come to your mind will realy suprise you...

...in your vision, you'll be able to see either mogadishu, kismayu or kabul


ona.. hii hapa 👇🏽
 
Hizi hauzitaki 👇
 
wacha kwanza huyu kijana apande ngazi na achukue usukani, tanganyika mtakiona moto 💥. bado hatuja sahau mli auction ngombe zetu 1000 nakuwauwa vifaranga zetu 6000.!! aah.!?
nabado........

 
We chizi umesoma shule Gani.? Ulisoma history ijapo kidogo.? Unaujua uchumi wa Russia au unajua uchumi wa Russia kwa data za IMF.? hakuna NATO wala upuuzi Gani ambao wako na guts za kujibishana na Russia, Mwanaume alishasema kanchi kokote katakachotia pua atakanyoosha dunia ilie whether ni mwanachama wa NATO or not.. na mpaka leo UKRAINE anakula dozi na hakuna wa kumsaidia.. usicheze na nchi za ki communist wewe
 
Kwani Dar ina buildings ngapi over 20fl ? Toa hizo tatu utapata majibu.
 
Mbona kuna nchi tayari zinasaidia Ukraine? Wamepeleka vifaa vya kivita na soon wanapeleka ndege na Russia hajafanya chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…