Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Argument ndogo kama hio inakufanya utukane waTz wote Una stress au vipi? Soma hio article alioweka. Inasemekana alikuwa Tz in 80s hio picha inaweza kuwa sio Tz ila yeye alikuwepo kwa muda fulani.
 
my unpopular & unnecessary opinion[emoji3] kuhusu Russia-Ukraine War, hakuna namna Putin atakubali kushindwa kwenye hii war.. akishindwa hata ushawishi wake utapungua.. so by any means, either hata ukraine kukubali kushindwa, Russia au Putin watashinda hii vita.. sijui kwa mda gan lkn Russia wataibuka washindi au wababe, na mkumbuke Putin ana backup ya nuclear weapons
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…