Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo u abisha kuwa Putin hajawahi kufika Bongo.? 😂😂 Sio tu kufika Bongo mwamba aliishi Tz kwa miaka minne .. picha yake hii 👇soma hapa 👇 Did Russian President, Vladimir Putin, Really Live and Work in Tanzania?.
 
Russia wenyewe wametamgaza , safe corridor ya Wanafunzi kutoka nchi mbali mbali.....


Kama unavyoona hapo Kwa picha wahindi nao wameambiwa washikilie bendera Yao.... kwakofupi bendera ambayo hairuhusiwi kuringia Russia ni bendera ya Ukraine..

 
Sidhani kama we jamaa ni muelewa..
 
Nalisema Benard alikuwa anasaidia sana hii kampuni kuuza Kwa kufanya marketing yule nyang'au komora096 akanibishia.

Ona Sasa afta divorce na mapato yana anguka.
Nadhani itakuwa family quarrels na mismanagement kama wanavyosema kwenye makampuni mengine [emoji23][emoji23][emoji23]
 
The friends of Kunyaland

Tony254


Nigeria voted in favor of Ukraine!
😂😂😂 We kilaza Kafrican njoo uone washirika wenu wanavyowagaragaza 😂😂😂 uko kwao.. mkiambiwa muachege viherehere muwe mnaelewa, sasa haya hayo makubaliano ya safe corridor sijui yatawasaidia nini watu wenu while Ukrainians wanakataza kuchomoka mufe nao 😂😂
 
Ninyi wanafunzi wenu wapo murang'a wanasomea kilimo cha mirungi, haya mambo tuachieni wenye uwezo

Na ndio maana wakenya ni washamba na watu poripori sana sababu ya lack of exposure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…